ccm na kikwete mapinduzi na uongo wenu tumeukataa. "Tanzania ni mali ya Watanzania" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm na kikwete mapinduzi na uongo wenu tumeukataa. "Tanzania ni mali ya Watanzania"

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by nitasemaukweli, Jun 1, 2011.

 1. n

  nitasemaukweli Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumegundua uongo, rushwa, kujikweza, ulevi, ubaguzi wa udini na sasa tunauona ubaguzi wenu wa ukabila. Credibility hamna hata mkitumia vyombo na fedha kiasi gani za wananchi, Taifa limeshawageuka. Kwa taarifa yenu Tanzania itabaki mali ya watanzania na mikononi mwa Watanzania.

  Mapinduzi mliotuletea ni sawa na kuwa chini ya mkoloni na utumwani. Njama za kuingiza "Martial law na kui-ignore justice and security ya wananchi hatutawaachia kwamwe na hatutanyanyua mikono juu, tutawaona jela tu.

  Wabunge wawatimua mawaziri wa Kikwete

  FFU, wanafunzi wapambana

  Kiapo cha Mkapa chazua mjadala


   
 2. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wacha jasho na damu za wanyonge ziwahukumu. U cant stop revolution idea by Zito kabwe MP, 2008.
   
Loading...