Mod anajichanganya

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Sijui ni kwanini mode anachanganya habari bila ya kufikiri madhara yake .habari za kiingereza anachanganya na kiswahili na bila kujua uzito wa habari zile. kwa mfano maneno ya nahoza kuhusu baric na madai ya sexual abuse katika mgodi huo hizi ni habari tofauti na zina mizizi tofauti moja inaongelea mauaji ya watu inayosababishwa na baric na polisi zilizotolewa na waziri na nyingine ni madai ya ngono ndani ya mgodi

je nini umahiri wa mod kwenye issue hizi za kuchanganya habari
 
Back
Top Bottom