Kweli CHADEMA Kiboko, CCM Kimyaa, Kama Sio wao

gambatoto

Senior Member
May 25, 2011
175
28
Baada ya Kukuru kakara za hapa na pale za CCM na Chadema, Hatimaye imedhihirika wazi kwamba Chadema ni Kidume wa Hoja zenye Mashiko.

Kila anayejaribu kuiparamia CDM anapigwa Knockout kwa hoja zinazokubalika na wananchi wa kila rika. Baada ya kuona mambo yanazidi kuwa mabaya, CCM wameamua kutumia nguvu ya DOLA.

Mwenyekiti, Katibu na Mpiga porojo wao wanaonekana kuchanganyikiwa namna mambo yanavyoenda. Madogo (UVCCM) nao wamekuwa wakali utadhani wamevutishwa bangi ya Msukule huku kila kundi likitoa matamko ambayo hayana tija kwa amani ya Chama.

Nao CCM B imekuwa vurugu tupu, sijui na wao wamechukua katabia ka kaka zao, naona wameanza kuvuana magamba hadharani.

CCM A na B wamechoka kupambana na CDM, iliyobaki ni kuchapana viboko wao kwa wao mpaka kieleweke, CDM wao ni kupulizia tu na kusubiri Viherehere wengine wajitokeze.

Lo, My Gooooooood!!! Tutafika kweli. Kwa yeyote anayeona bila biasness CHADEMA peke yake imebakia kuwa Chama Imara katika wakati mgumu. Wananchi tunaona.

Kweli Chedema mnatukuna Jamani, CCM Kimyaaaaaaaaaaaaaaa.
 
yani ningekufahamu uliandika hii topic ningekupa zawadi hv unajua wamekuwa cool utafikiri wamemwagiwa maji ya mtungi ahahahah yani nimecheka sana
 
m2 wangu unastahili hongera kwani sasa hakuna kuaminiana kwa sasa ndani ya ccm kila atakayekudhubutu anazimwa sio na upinzani bali na ccm wenyewe chadema wao wanalipua mabomu na kutulia atakayeleta kiherere ananasa kweli chadema noma
 
Bado wanachunguzana waanzilishi wa CCJ, maana Nape anasadikika ni kada wa CCJ.... ha ha haaa... ama kweli chadema ni strategic thinkers, hawa tukiwapa dola tutaendelea maana wameonyesha tabia ya kutumia ubongo wao kufikir as opposed to CCMi. kwahiyo wakihamisha huo uwezo kwenye mambo ya kulijenga taifa wakiwa na dola, umasikini kwaheri Tanzania. Dah! hii topic imenifurahisha!
 
Baada ya Kukuru kakara za hapa na pale za CCM na Chadema, Hatimaye imedhihirika wazi kwamba Chadema ni Kidume wa Hoja zenye Mashiko.

Kila anayejaribu kuiparamia CDM anapigwa Knockout kwa hoja zinazokubalika na wananchi wa kila rika. Baada ya kuona mambo yanazidi kuwa mabaya, CCM wameamua kutumia nguvu ya DOLA.

Mwenyekiti, Katibu na Mpiga porojo wao wanaonekana kuchanganyikiwa namna mambo yanavyoenda. Madogo (UVCCM) nao wamekuwa wakali utadhani wamevutishwa bangi ya Msukule huku kila kundi likitoa matamko ambayo hayana tija kwa amani ya Chama.

Nao CCM B imekuwa vurugu tupu, sijui na wao wamechukua katabia ka kaka zao, naona wameanza kuvuana magamba hadharani.

CCM A na B wamechoka kupambana na CDM, iliyobaki ni kuchapana viboko wao kwa wao mpaka kieleweke, CDM wao ni kupulizia tu na kusubiri Viherehere wengine wajitokeze.

Lo, My Gooooooood!!! Tutafika kweli. Kwa yeyote anayeona bila biasness CHADEMA peke yake imebakia kuwa Chama Imara katika wakati mgumu. Wananchi tunaona.

Kweli Chedema mnatukuna Jamani, CCM Kimyaaaaaaaaaaaaaaa.

Wameamua kukaa kimya baada ya kuona wanabishana na mwendawazimu,hapo mwanzo walifikiri ni watu timamu kumbe ni wavuta bangi wanaochochea vurugu.hongera ccm acheni kubishana na hao watu wa vurugu.pangeni sera za ushindi 2015.
 
Unayosema ni kweli kabisa, kinachonifurahisha ni kuwa ccm sasa hawana pa kuponea, lolote watakalofanya inakula kwao, hawakutegema mambo haya ndo maana hata la kusema hawana tena, namkumbuka mzee wetu makamba msema ovyo sijui yuko wapi siku hizi masikini, naona anamshukuru Mungu kwa kumuepushia kikombe, chadema endeleeni na moto huohuo.

Na msisahau kwenda mafia mnasubiriwa kwa hamu sana huko, nendeni ili tuwakate kilimilimi cha kusema cdm ni wakristu na wachaga (mimi si mchaga si mwanachama wa cdm lakini kati ya ccm na cdm napenda cdm na kura zangu zote zilienda cdm, nawakubali.
 
Kukaa kimya kwao sio kama unavyonadi,ni kuzidiwa maarifa,hapo kwenye bold labda uwasaidie wewe,na ahadi lukuki ambazo hazitekelezeki sijui mtafanyaje
 
Wameamua kukaa kimya baada ya kuona wanabishana na mwendawazimu,hapo mwanzo walifikiri ni watu timamu kumbe ni wavuta bangi wanaochochea vurugu.hongera ccm acheni kubishana na hao watu wa vurugu.pangeni sera za ushindi 2015.
Ziada Mwana.

Unajua hali ya Maisha kwa sasa ni ngumu sana!

ccm kwa sasa ndio serikali, Tumeiweka madarakani sisi.

Kama watakua wanaingia madarakani na kujiandaa na Chguzi zinzofuata si ndio tutabaki kusherekea miaka hamsini ya uhuru bila hata chembe ya maendeleo?

Among the East African Countries, Tanzania is the poorest! Do you know why?

Serikali ya ccm haiweze kukusanya kodi! Wachangiaji wakubwa wa MaT-shirt ya Kuomba kura ndio vinara wa kukwepa Kodi, nayo Serikali ya ccm inaogopa kuwabana kwasababu itakosa T-shirts za kuombea kura vijijini.

Hata wewe lazima kwa namna moja au nyingine unafaidika ufisadi unaolelewa na serikali ya CCM. Unajua CHADEMA wakichukua dola umekwenda na maji.

CCM Hii imeweza kupanda Mbegu ya udini Tanzania kwa kudai CHADEMA ni chama cha wakristu. Wajinga wengi wameongia katika mtego huu kwa kukubali CHADEMA ni ya wakristu na CCM ni ya Waisilamu.

Sitaki kusema mengi, naomba Mungi niweze kuuona mwaka wa 2015.
 
wamefuata nyayo za CDM mkoa wa Pinda maana hali ni tete.........CDM hadi katavi full kuwakamata
 
Baada ya Kukuru kakara za hapa na pale za CCM na Chadema, Hatimaye imedhihirika wazi kwamba Chadema ni Kidume wa Hoja zenye Mashiko.

Kila anayejaribu kuiparamia CDM anapigwa Knockout kwa hoja zinazokubalika na wananchi wa kila rika. Baada ya kuona mambo yanazidi kuwa mabaya, CCM wameamua kutumia nguvu ya DOLA.

Mwenyekiti, Katibu na Mpiga porojo wao wanaonekana kuchanganyikiwa namna mambo yanavyoenda. Madogo (UVCCM) nao wamekuwa wakali utadhani wamevutishwa bangi ya Msukule huku kila kundi likitoa matamko ambayo hayana tija kwa amani ya Chama.

Nao CCM B imekuwa vurugu tupu, sijui na wao wamechukua katabia ka kaka zao, naona wameanza kuvuana magamba hadharani.

CCM A na B wamechoka kupambana na CDM, iliyobaki ni kuchapana viboko wao kwa wao mpaka kieleweke, CDM wao ni kupulizia tu na kusubiri Viherehere wengine wajitokeze.

Lo, My Gooooooood!!! Tutafika kweli. Kwa yeyote anayeona bila biasness CHADEMA peke yake imebakia kuwa Chama Imara katika wakati mgumu. Wananchi tunaona.

Kweli Chedema mnatukuna Jamani, CCM Kimyaaaaaaaaaaaaaaa.

Mkuu umepatia ile mbayaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
wamejivua gamba, kabla hawajamaliz kuvuana gamba mpendazoe kaharibu tena! sasa kilichobaki ni kuchunana ngozi nyambaf zao! mwaka huu watakoma. tunataka watembee hadharani bila chupi!
 
Uwezo wa chadema wa kupanga hoja zenye akili na uhodari wa viongozi wake ndio mtaji wa chama. Wamethibitisha bila woga kuwa wao ndio mbadala wa ccm katika nchi hii. Wazee wa magamba full kutafutana uchawi.

Chadema knows how to play safe and when to score the goal at the right time. Keep it up and aluta continua
 
mpendazoe did the right thing at the right time..kawavuruga wenyewe kwa wenyewe now nobody trusts nobody

Hivi unaamini kwamba Mpendazoe ndie aliyewafanya CCM wajue kwamba Sitta, Mwakyembe na Nape ndio walikuwa waanzilishi wa CCJ? Habari hii ilijulikana siku nyingi kupitia UWT na ndio maana Sitta alisukiwa mizengwe asiendelee kuwa speaker lakini akapozwa kwa kupewa uwaziri na Nape kuambulia ukuu wa Wilaya. Mwakyembe naye alipewa unaibu waziri kwa ajili hiyo hiyo. Cha maana alichosema Mpendazoe ni kwamba watu hawa sio wapambanaji wa ufisadi halisi!!!!

Tiba
 
Unayosema ni kweli kabisa, kinachonifurahisha ni kuwa ccm sasa hawana pa kuponea, lolote watakalofanya inakula kwao, hawakutegema mambo haya ndo maana hata la kusema hawana tena, namkumbuka mzee wetu makamba msema ovyo sijui yuko wapi siku hizi masikini, naona anamshukuru Mungu kwa kumuepushia kikombe, chadema endeleeni na moto huohuo.

Na msisahau kwenda mafia mnasubiriwa kwa hamu sana huko, nendeni ili tuwakate kilimilimi cha kusema cdm ni wakristu na wachaga (mimi si mchaga si mwanachama wa cdm lakini kati ya ccm na cdm napenda cdm na kura zangu zote zilienda cdm, nawakubali.

Hilo swala la Mafia (Kwenye red) wazee wa CDM ebu lifanyieni kazi, another strategy msipoteze huo ujiko!!!!!!!!!!!! CCM chali!!!!!!!!
 
Jamani jf ni kisima cha fikra mchipuko!! Yani kijana wangu uliyepost hii kitu unamaono makuu!!! Kuanzia leo na kupandisha cheo hapa jf, chagua cheo chochote isipokuwa hiki changu tu!
 
Back
Top Bottom