Poor customer care | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Poor customer care

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by awadhizo, Jun 1, 2011.

 1. a

  awadhizo New Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaaan hizi kampuni za huduma za simu,cjui znazingatia sana kwenye promosheni,na offa zao za ajabu,hadi wanasahau kuhudumia m2,unakuta m2 anapiga simu mpaka ahudumiwe ni nusu saa,isitoshee tatizo lako halitatuliwi.hii tabia iko sana Airtel.inanikera sanaaa...
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo kampeni sasa iwe HAMA AIRTEL
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  peleka jukwaa la malalamiko, hapa si mahala pake
   
Loading...