JK aahidi tena kuinusuru ATC: utekelezaji wa ahadi utaanza lini?

MWananyati

Senior Member
Feb 3, 2011
160
53
Nimeona kwenye gazeti la Tanzania Daima ahadi zilizotolewa na JK mkoani mwanza katika sekta ya miundombinu:
  1. ujenzi wa reli (Dar to Burundi)
  2. ujenzi wa reli (Dar hadi Isaka, mwanza,kigoma,mpanda)
  3. Kufufua tena ATC
  4. Meli kubwa kati Ziwa Victoria
Mheshimiwa anatakiwa afahamu kuwa pamoja na kuwa yeye ni mwanasiasa, lakini nafasi aliyonayo (Presidency) kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, YEYE NDO MTENDAJI KUU WA NCHI.

Kingine ni kuwa anachofanya ni marudio ya zile ahadi 270 alizotoa wakati wa kulekea uchaguzi mkuu 2010.

Ninavofikiri, ni kuwa saivi mipango ingekua tayari ipo mezani inasubiri utekelezaji au ndo tayari iwe imeanzwa kutekelezwa.

Mr President, you promised a bright future for us, but so far, your approach seems to be hopeless, na ndo sababu hata budget za mawaziri wako zinakataliwa

Otherwise, you also need a 'semina elekezi' from independent consultant
 
Back
Top Bottom