Hivi JK 'atapewa shavu' akistaafu kama ilivyo kwa Mkapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi JK 'atapewa shavu' akistaafu kama ilivyo kwa Mkapa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamanzi, May 31, 2011.

 1. k

  kamanzi Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mimi huwa najiuliza, kila leo Mkapa anapewa mapande katika anga la kimataifa. Hivi huyu ****** kweli akistaafu atapewa kweli hata ukatibu kata? Tukisema kamkwere ni sifuri mnasema tuna udini ila tuwe wakweli, Mkapa aliokoa nchi toka kwa kilaza wa kwanza Mwinyi (ila walau alikuwa na utu) na sasa kakabidhi kwa kilaza mpya ****** ambaye kwa bahati mbaya hajijui kuwa ni sifuri. Bring back Mkapa!!!

  Mkapa appointed to UNCTAD eminent persons panel

  FORMER President Benjamin Mkapa has been appointed member of the newly formed group of Eminent Persons that will review new global economic governance and its implications for Developing countries in a post-crisis era.

  The 10-member panel appointed by the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) Secretary General, Dr Supachai Panitchpakdi, is compiling a report on the matter which is expected to come out in early next year.

  The former president left Dar es Salaam on Monday for Geneva to join other members of the panel in a two-day meeting that begins on Tuesday, according to a statement issued by his (Mkapa's) office on Monday. He is expected back home on Friday.

  Other members of the panel include President Tarja Kaarina Halonen of Finland, former presidents Thabo Mbeki of South Africa and Joaquim Chissano of Mozambique and Prof Jagdish Bhagwati of Columbia University.

  Also members are the First Lady of the Dominican Republic, Ms Margarita Cedeno De Fernandez, former UN Deputy Secretary-General and former UK Minister for Africa, Lord Malloch-Brown.

  Others are Secretary-General of the Centre for the Study of the G20, Mr Yongtu Long of China, creator of the Mo Ibrahim Foundation, Dr Mo Ibrahim of Sudan and the Indonesian Minister for Trade, Ms Mari Elka Pangestu.

  Source: DAILY NEWS
   
 2. j

  jakamoyo JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jk kamfanya mazuri na mabaya kama ilivyo kwa mkapa (alifanya mazuri na mabya).
  So kupewa shavu ni jambo linalo wezekana kabisa, wala sio ajabu.
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Itakuwa vigumu kupewa shavu katika anga la kimataifa kwani ni vigumu kuonekana ukiwa keko/segerea. Labda kama ni kupewa shavu basi atapewa unyapara.
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  joining date ni baada ya kuvuana magamba,nyie ndo walewale...........
   
 5. N

  Nchimbi J Senior Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK atapata heshima tena kubwa sana....wakati ambao dunia imekuwa na hali mbaya ya uchumi kama economic depression yeye ameweza kuongoza tanzania....angalia pm wa greek amekimbia madaraka kwa uchumi kumshinda...iceland nchi haiendesheki....msumbiji chupa hata ya soda inauzwa dola mbili yani sawa na sh 3000.

  Inawezekana huyajui mambo ambayo yatampa jk heshima kubwa sana mpaka sasa.

  1.Maendeleo ya kilimo ambayo mpaka sasa yamefikiwa.

  2.Shule za sekondari ambazo anaendelea kuziimarisha

  3.Chuo kikuu cha dodoma kuwa kikubwa kwa East Africa

  4.Rais wa kwanza kuwapandisha kizimbani mafisadi na kuwafunga jela.

  5.Miradi ya maji inayoendelea nchini

  6.Uongozi mbovu wa slaa pindi atakaposhindwa kuuza cement elfu tano na mengi anayowaambia wananchi ambayo kimsingi hatatekelezeki yatampa
  JK heshima.

  Tungoje tuone.
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hayo maneno yako yananikumbusha ahadi lukuki za JK kwenye uchaguzi 2010, sijui kwa kuwa alijua ni term yake ya mwisho?
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kumbe na wewe ni wale wale wapuuzi!
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wakati Mkapa anaingia Magogoni inflation rate ilikuwa 30%-plus, ametoka inflation below 5%!!
  GDP ilikuwa around 1%, anaondoka GDP 6.5%, nchi ilikuwa HAIKOPESHEKI, ameondoka tuko na kitu kinaitwa GBS baada kuweka mfumo wa fiscal descipline. Kaingia nchi ilikuwa ruksa, kaondoka katuachia vison 2025, mkukuta, na mkurabita. Mapungufu alikuwa nayo lakini on balance alifanya vitu vya maana.

  JK kafanya nini? inflation? GDP, GBS (wafadhili wanazidi kujiondoa)? Ana miaka minne ya kujirekebisha tusubiri pengine mambo yanaweza badilika.
   
 9. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Huu ni upuuzi,
  1. Tuambie kilimo gani amekiendeleza wakati watanzania wengi wanalala na kushinda na nja. Toa indicator.
  2. Juhudi zilianzishwa na mkapa, hacha uchuro, baada ya lowasa kupigwa chini ni shule gani imefunguliwa, give examples punda wewe
  3. Chuo cha kichina, majengo kama waalimu kama wanafunzi, upuuzi
  4. CCM wote akiwemo wamefilisi nchi, wa kwanza kupanda kizimbani ni yeye, wale wote ni dagaa.
  5. Cement kutoka pakistan na india inauzwa 10000, wakati inayozalishwa hapa ni 15000, tell who is mad between you and dr slaa. Hacha ujinga!lol :tonguez:
   
 10. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Atapewa paja lol!
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,237
  Trophy Points: 280
  I don't know much on politics but I doubt his popularity come 2016 and beyond..labda aende Advertising sector (Mr. Smiles..lol)
   
 12. k

  kiloni JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thubutu nani amfikirie msanii wa karne ya 21! "JK anafaa zaidi kuwa mwenyekiti wa Miss Tanzania" I Lipumba 2000.
   
 13. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hehehe watu tumechoka jamaniiii..............saa ya ushindi yaja...everywhere jey key jey key...,...tuendeleeni kujitia mafuta wapendwa:israel:
   
 14. L

  Lua JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  cjui kama anavigezo vya kupewa shavu, labda shavu la kutengeneza ahadi zisizotekelezeka.
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hahaha kama kawaida yenu, Magamba baba hadi MAGAMBA mtoto, mlichokula kinawatosha mwisho wenu umefika. HIV MBONA CCM IMEKUWA YA KOO FLANI TUU!
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
   
 17. R

  Ray Isly Member

  #17
  May 31, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah!kweli mti wenye faida hauachi kupigwa mawe!Nimegundua kweli watanzania wengi ni vilaza hasa wenye akili kama za huyu anaeuliza kua Jk akimaliza uongoz uongoz atapewa shavu?hv unajua kwanini viongoz wa nchi za afrika wanapewa nafac kama hzo?Ndomana hujui unalolisema.Angalia kwanini Muhamed Albaradei wa Egypt alikua Mkurugenz wa Shirika la nguvu za Atomik nk.Je wananafac gani kny maamuz au mnataka hzo cfa 2.jarib kufikiria uciandike kingereza 2 ukajiona umesoma,kumbe ni lugha kama kichaga,kifaransa na kiarabu.shule haijakusaidia.RAY ISLY
   
 18. k

  kamanzi Member

  #18
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wewe Ray una mtindio wa akili. Kudhani kwamba wanaangalia maboya kama JK katika kuchagua viongozi wa kimataifa ni dhana kuu kuu kama CCM. Wanaoijua UN (na mimi nimefanya kwa miaka kadhaa) watakwambia hajawahi kuwepo secretary general bora wa UN zaidi ya Boutros Boutros Ghali ambae ni mmisri. Professor huyu wa hisabati alikuwa thabiti kiasi kwamba marekani waliweka kama priority kumuondoa kwenye kiti chake. Sasa wewe mbwiga unaposema hawaangalii vigezo una maanisha nini? Kikwete ni kilaza, hilo huwezi kulikataa. Data zingine ambazo watu hawajaweka hapa ni kwamba, Mkapa aliacha surplus kwenye budget yake ambayo kama Kikwete angetumia kwa uangalifu na nchi ingekaa bila kuzalisha kitu basi ingeweza kuendesha nchi kwa muda wa mwaka mmoja bila msaada wa nje. Kikwete alimaliza hiyo surplus ndani ya miezi yake 3 ya kwanza ya urais wake. Mfumuko wa bei ya bidhaa ikiwa ni pamoja na kushuka kwa thamani ya shillingi ya Tanzania vipo katika hali ya kutisha wakati huu. KWa mfano, wakati naondoka Tanzania mwishoni mwa mwaka 2009, dola moja ya Australia ilikuwa ni shillingi 1000 za kitanzania. Leo hii mwaka mmoja na nusu baadae, dola hiyo hiyo ya Australia inathamani ya swhilling 1,600. KWanini?

  Kama umesoma hata economics ya form five utajua kuwa Tanzania imeshuka mno kwasababu ya rent seeking. KWakuwa najua wewe ni kilaza nitakufafanulia japo kwa kifupi. Uchumi wowote duniani ili ukue (utajiri wa watu na nchi), inabidi uzalishaji uzidi matumizi au walau visipishane sana. Tatizo Kwa nchi za kijinga kama Tanzania, utajiri hasa wa watu (microeconomics) na baadae wa nchi kwa ujumla (macroeconomics) hautokani na uzalishaji wa bidhaa bali ulaghai. Mtu anakuwa tajiri kwasababu anamjua anae toa tender na si kwasababu bid yake ni bora kuliko zote. Mtu anapewa ukurugenzi wa shirika kama Mattaka kwasababu ni swahiba wa JK si kwasababu ya uwezo. Au Mtu anatajirika kwa kununua mahindi wakati wa mavuno na kulangua wakati wa njaa. huyu si mzalishaji bali mlaghai, anazungusha kilekile kilichozalishwa mwanzoni kwaiyo utendaji wake hauna faida kwa uchumi. Matokeo yake, kila mtu (alie rational) anaona ni bora alaghai na kujitafutia utajiri wa njia ya mkato (rent seeking) kuliko kuboresha utendaji kazi wake. Mwisho wake, wapo wataoonekana wakitajirika (kwasababu ya rent seeking) lakini mwisho wa siku kwasababu wazalishaji halisi ni wachache nchi inazidi kudidimia kila leo. Wewe, JK na CCM hamyajui hayo na wala hamtajua kwa maana ni vilaza msiopenda kufundwa. Ndio maana wenye akili zao wanaondoka na kuwaachia uozo wenu. Hata yule mfalme wangu aliniambia, "ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO". Enough for the day!!!
   
 19. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #19
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Pumba tupu
   
 20. M

  Murrah Senior Member

  #20
  Jun 1, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK hana interlectual capacity kama ya Mkapa vile vile management skills hana kwa hiyo soi rahisi kupewa nafasi za maana atakuwa kama Moi wa Kenya.
   
Loading...