Ushindi wa kikwete haukuwa na dosari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa kikwete haukuwa na dosari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, May 30, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Ushindi wa kikwete mwaka 2010 haukuwa na dosari ungetegemea kauli kama hii ingetolewa na independent entity with alot of evidence to justify the outcome lakini inatolewa na mke wa Rais na kuwa reported kama hardnews. Nipashe, you are better than this.
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Angesema tofauti na alivyosema tungesikitika. Hicho alichosema ndicho alichotegemewa akiseme
   
 3. k

  kakini Senior Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi sidhani kama alishinda na siwezi kumkubali kama ni kiongozi wa nchi labda anaongoza wajinga
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  jamaa si kapata kikombe recently toka samunge so inawezekana karudia ujana kwenye mambo yetu yaleee so wife kakunwa ss anatoa sifa hovyo hovyo
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  well said
   
 6. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tuwape pole kwani mlitegemea huyu 1st lady asemeje? Hata kama anajua wamechakachua atasema hivyo mbele ya umma na magazeti yetu yasiyo na ueledi wanaandika kama habari nzito. Kituko cha Mwaka
   
Loading...