Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Polisi kumkamta Mbunge kwa nguvu Na Cosmas Mlekani 29th June 2011 Jeshi la Polisi mkoani Mwanza huenda likamkamata Mbunge wa Busega kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Titus Kamani, ili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KITI cha Spika wa Bunge, Anne Makinda jana kilitikiswa kufuatia malumbano makali baina ya wabunge hasa wa kambi ya upinzani walipokuwa wakichangia hotuba ya ofisi ya Waziri Mkuu, huku mbunge wa...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Misamaha ya kodi na mgawo wa umeme vyakwamisha TRA Tuesday, 28 June 2011 20:26 Mussa Juma, Arusha Mwananchi MISAMAHA mikubwa ya kodi na mgawo wa umeme unaoendelea nchini, ni miongoni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
THE CONSTITUTION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Article: 67. Qualifications for Member of Parliament (l) Subject to the provisions contained in this Article, any person shall be...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
tolea namba 248 la gazeti la Mwanahalisi (tarehe 29/6 - 5/7/2011...la leo) lina kurasa 8 za nyongeza za Hotuba ya Kiongozi wa kambi Rasmi ya Upinzani Bunge la JMT, HE. F. A. Mbowe (MP). Hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu mama ni kilaza balaa. Leo katumia muda mwingi kuponda UDOM. Amedhihirisha ukweli kuwa CCM inawezekana waangalia sifa ya ukilaza katika kugawiana nafasi za utawala hasa hawa viti maalum...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wadau, nahitaji mchango wenu, kwa yeyote anayejua kuhusu Sera ya Kilimo na Mifugo nchini, je, imefanya kazi ipasavyo? Imewanufaishaje Watanzania hasa wale wa makundi yaliyosahaulika ama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SERIKALI inatumia zaidi ya sh milioni 50 kwa mwezi kwa ajili ya kugharimia malazi na chakula kwa ajili ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha, anayeishi katika Hoteli ya New Afrika tangu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam wanajamvi, Jana tuliweza kuuthibitishia umma wa watanzania ya kuwa jamii forum ni home of great thinkers,tuliweza kuonesha mapunguf makubwa yaliyopo katika jimbo la kilindi kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza kabisa Viongozi wa kijadi na kieneo walioongoza mapambano dhidi ya Wakoloni; Kinjeketile Ngwale, Watemi Chabruma, Songea, Mirambo,Isike ,Mkwawa, Kimweri Mbega, Sina Meli Mandara...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Written by amini // 29/06/2011 // Habari // No comments Tanganyika kabla ya Muungano, nembo ya Taifa. Tanganyika ya sasa simbuli(nembo) ni ile ile jee Wazanzibar si tuko ktk tumbo la Tanganyika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WAZIRI wa Fedha, Mustafa Mkulo, amelishambulia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kwa kuendelea kuchukua fedha za Serikali zitokanazo na kodi ya wananchi kwa ajili ya ununuzi wa mafuta ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mh. Ana, Umshukuru Mungu kwa hizo vurugu na usizichukie ndizo 'zinakupaisha' mama. Kama bunge la sasa lisingekua na 'vurugu' hizi tunazoziona, basi mama bunge lako hili lisingekwa na mvuto kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
HUU NI MTAZAMO Ndugu, Watanzania wenzangu, Nimefuatilia mijadala ya Bunge la Jamhuri kwa muda mrefu, natamani kuwe na namna ya kuwahoji wabunge kwa namna wanavyopoteza muda mwingi kutoa misemo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefuatilia magazeti ya leo nimeona wabunge wawili wa bunge letu wakisema muungano uvunjwe! Ingawa spika amewaambia mawazo yao wayapeleke kwenye kamati ya katiba, ukweli unabaki kuwa wabunge na...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
BBC Swahili - Habari - Senegal waandamana kupinga mgao wa umeme My take: Kuna nchi yenye mgao unaozidi wetu? Maana tukiwa tunakula wa about twelve hours, tanesiko watangaza rasmi wa masaa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo nimemsikia Nape Radio Safari MTWARA akiombwa kutoa maoni yake juu ya kauli ya LOWASSA KUWA serikali na CHAMA ...CCM... Wamekuwa waoga kuchukua maamuzi magumu. Nape akaanza kwa kumshangaa...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
This is what the minister said today; STAMICO to run Kiwira coal mine KIWIRA coal mine in Mbeya Region, which has won a 400m US dollars (about 600bn/-) Chinese soft loan will be run by the State...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, maarufu kama "Mtoto wa Mkulima," Ijumaa wiki hii (Juni 30, 2011) atahitimisha mjadala wa bajeti ya ofisi yake ya 2011/12 Bungeni. Hii itakuwa ni fursa nzuri kwa Pinda...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom