wananchi waandamana kupinga mgao wa umeme,ofisi za shirika la umeme zachomwa moto

mkuu na mimi nilikimbia ili nipate geografia ya eneo fasta niwahi na bango langu, dah! yaani nilikuwa nawaza cha kuandika kwenye bango langu, kumbe senegal??????????????????????
mkuu huku kwetu Tanesco hata wakiamua kuzima masaa 24 hakuna shida nchi ina amani hii...mfanye maandamano uhatarishe amani iliyoachwa na Baba wa taifa subutu akina tyson aka mzee wa kusinzia bungeni anatazungukia radio na tv station zote kupingana na wewe...
 
Mleta maada! vipi metoka usingizini? nilipoona heading nikadhani Bongo kumbe Senegaal, tujadili ya nyumbani kwanza hayo ya wengine tuache kama yalivyo
 
mkuu huku kwetu Tanesco hata wakiamua kuzima masaa 24 hakuna shida nchi ina amani hii...mfanye maandamano uhatarishe amani iliyoachwa na Baba wa taifa subutu akina tyson aka mzee wa kusinzia bungeni anatazungukia radio na tv station zote kupingana na wewe...

aaaagh!! mkuu unanikatisha tamaa bwana, mbona arusha tuliweza? mkuu nipe support, siku ya 7 ya mwezi wa 7 naona itafaa sana kumuomba ngeleja atuachie ofisi yetu.
 
aaaagh!! mkuu unanikatisha tamaa bwana, mbona arusha tuliweza? mkuu nipe support, siku ya 7 ya mwezi wa 7 naona itafaa sana kumuomba ngeleja atuachie ofisi yetu.
Ngereja ni kama toy...Uwaziri kapewa na Rostam hivyo hata tukiandamano kumshinikiza hawezi labda tuandamne kuuomba Rostam amwondoe....
 
aaaagh!! mkuu unanikatisha tamaa bwana, mbona arusha tuliweza? mkuu nipe support, siku ya 7 ya mwezi wa 7 naona itafaa sana kumuomba ngeleja atuachie ofisi yetu.

Nimekubali...mimi nitaanza na watu wanaoenda viwanja vya sabasaba hiyo siku...nitatoka kwangu (Mbagala) na enough mabango...mkiniona mje kunipokea baadhi..nitakuwa nayo pale mlangoni...halafu mniangushe!!!
 
Ngereja ni kama toy...Uwaziri kapewa na Rostam hivyo hata tukiandamano kumshinikiza hawezi labda tuandamne kuuomba Rostam amwondoe....

hahahahaaha....braza bwana, hahahahahaha....yaani huyu rost ametufikisha hapa tulipo? anatuwekea viongozi?? dah! si ajabu hata JK yupo kwa nguvu ya msela.
 
Nimekubali...mimi nitaanza na watu wanaoenda viwanja vya sabasaba hiyo siku...nitatoka kwangu (Mbagala) na enough mabango...mkiniona mje kunipokea baadhi..nitakuwa nayo pale mlangoni...halafu mniangushe!!!

bonge la trick, siku ile unawasubiri langoni then unamwaga upupu, utashangaa watu tunajazana na si ajabu ndo mwanzo wa kum'hosni mubaraka malaria sugu hapo magogoni.
 
Nimekimbilia nikijua ni hapa kwetu nikajumuike nao kumbe senegal...sijui hapa kwetu lini

Wewe mwoga, huwezi kuthubutu, utaishia kujifanya uko kwenye keyboard ukitoa updates.
Kundi lako ni mabingwa wa kuponza wengine, wakidhurika mnatafuta picha za majeruhi na maiti ili kuzitumia kisiasa.
Hii ni aibu kwako na kwa chama chako.
 
bonge la trick, siku ile unawasubiri langoni then unamwaga upupu, utashangaa watu tunajazana na si ajabu ndo mwanzo wa kum'hosni mubaraka malaria sugu hapo magogoni.

Ayaaaa..umenipa bonge la idea..kesho nitarudi hapa, let me bookmark this page...!!!!!
haya nipeni maneno ya kuandika kwenye mabango. nguvu kazi ninayo kubwa (watoto wa mtaani ni marafiki zangu zangu, na nimeiba marker pen mbili tayari hapa ofisini)
NIEPNI MANENO GT...
 
nachelea kusema kuwa bandu bandu humaliza gogo na ndundu si chororo,haya matatizo yanamaliza uvumilivu wa tz kidogo kidogo na iko siku hata wale serikali isiowadhania wanaweza kulianzisha watalianzisha...

wakati vugu vugu linatokea misri na tunisia nadhani Gadaffi alikuwa so relaxed akijua wananchi wake wasingethubutu kufanya wanachokifanya sasa...
naishauri serikali ioneshe nia ya dhati ya kutatua hizi kero hasa hili suala la umeme na makali ya maisha kabla nyani hawajaanza kuchachamaa na msitu ukashindwa kukalika...
 
mimi siendi kabisa tanesco twawaoneo kumbe tatizo ni srikali maana waliikopa sana na wanaendelea kuikopa sasa miradi ingeanzishaje na mabilioni ya madeni yamekaliwa na serikali , pamoja na hayo hata hivyo mkuu wetu alituumiza sana ningejua mwaka 2005 nisingepiga kura
 
hahahahaaha....braza bwana, hahahahahaha....yaani huyu rost ametufikisha hapa tulipo? anatuwekea viongozi?? dah! si ajabu hata JK yupo kwa nguvu ya msela.
ROSTAM + Lowasa hawa ndiyo walio mwingiza Kikwete ndiyo maana tunasubiria awaguse...
 
Back
Top Bottom