Hotuba ya mbowe ndani ya mwanahalisi na upupu wa ms!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya mbowe ndani ya mwanahalisi na upupu wa ms!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanga kwetu, Jun 29, 2011.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  tolea namba 248 la gazeti la Mwanahalisi (tarehe 29/6 - 5/7/2011...la leo) lina kurasa 8 za nyongeza za Hotuba ya Kiongozi wa kambi Rasmi ya Upinzani Bunge la JMT, HE. F. A. Mbowe (MP). Hii ime-cancel upupu wa MS na vibaraka wake alioutoa wiki iliyopita kwamba CDM wameitosa Mwanahalisi kwa kutochapa bajeti ya kambi ya upinzani as if CDM wanalipia matangazo ya hotuba ya bajeti ya upinzani kwenye magazeti ilhali ni strategy ya gazeti kujiuza. MS et al., acheni hizooo!!! AIBU YAO,AIBU YENU!!!
   
Loading...