Kuna haja ya kubadili kipengele hiki cha katiba

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
THE CONSTITUTION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

Article:

67. Qualifications for Member of Parliament

(l) Subject to the provisions contained in this Article, any person shall be qualified for election or appointment as a Member of the Parliament if he-

(a) is a citizen of the United Republic who has attained the age of twenty-one years and who can read and write in Kiswahili or English; and
(b) is a member of and a candidate proposed by a political party.


THE CONSTITUTION OF UGANDA

Article:


80. Qualifications and disqualifications of members of Parliament.

(1) A person is qualified to be a Member of Parliament if that person—

(a) is a citizen of Uganda ;
(b) is a registered voter; and
(c) has completed a minimum formal education of Advanced Level standard or its equivalent.


 
Sasa unataka iweje??tu-copy na ku-paste ya wenzetu ug ama??
hapana tubaki na wabunge wa darasa la nne na la saba au sio sizinga? Hivi kuchukua mazuri kutoka kwa wenzetu ni kosa? We sinzinga umeshakopy vingapi mpaka?
 
ni wazo zuri... ila kipengele cha kubadilshwa si hichooo...... ni swala zima la mgombea binafsi............. kuwa above 21 its okey... tunaka matured MP'S... kibaya ni hicho lazima awe member wa political party......tatizo hili litaondelewa ni kuruhusu mgombea binafsi kwa ngazi zote.... maana kibadilishwa kipengele hicho peke yake...... urais utabaki vilivile.. huwezi kuwa raisi mpaka uwe member wa chama..... gb up bro challenge kama hizi ndio zinatkiwa kipindi kiki cha vuguvugu la kaitba mpya....
 
Back
Top Bottom