CCM imejaa vilaza kweli! Felister Bura (Mb) viti mauulum mkoa wa Dodoma

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Huyu mama ni kilaza balaa. Leo katumia muda mwingi kuponda UDOM. Amedhihirisha ukweli kuwa CCM inawezekana waangalia sifa ya ukilaza katika kugawiana nafasi za utawala hasa hawa viti maalum.

Kaponda sana maandamano kuwa yanasababishwa na UDOM. Kasema upuuzi mwingi na anaendelea sasa kilaza mwingine anayewasilisha kuwa TZ haiwezi kuendelea kutokana na madini yake. Ni hatari. Tena huyu ni Dr.
 
Hawajua kuwa Chuo kikuu ni shule ya fikra huru na wale sio 'watoto' tena ni watu wazima wenye mawazo mbadala..
 
Natamani hawa wanaojiita 'viti maalum' wangetolewa kabisa bungeni,hawana msaada wowote zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi
 
Kituo cha Afya Dodoma

pembeni linaonekana jengo lililobovu hii ni kutokana na Diwaani na Palamala CCM kutafuna hela za ujenzi 2008.
2010 alichaguliwa tena kuwa Diwani
CCM hoyeeeeeeeeee
Anayesema CCM mbaya mmbaya mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeee

attachment.php
 
Attachments

  • Kituo cha Afya DODOMA.jpg
    Kituo cha Afya DODOMA.jpg
    35.1 KB · Views: 343
Hawa wabunge wa CCM wanatakiwa kupimwa vichwa vyao naye mbunge wa Buchosa kamponda Godbless lema kwa kukataa muafaka Arusha,Stella Manyanya kamponda Dr Slaa na Josephine Emmanuel hawana jipya hao,
 
Huyu mama ni kilaza balaa. Leo katumia muda mwingi kuponda UDOM. Amedhihirisha ukweli kuwa CCM inawezekana waangalia sifa ya ukilaza katika kugawiana nafasi za utawala hasa hawa viti maalum.

Kaponda sana maandamano kuwa yanasababishwa na UDOM. Kasema upuuzi mwingi na anaendelea sasa kilaza mwingine anayewasilisha kuwa TZ haiwezi kuendelea kutokana na madini yake. Ni hatari. Tena huyu ni Dr.

kigezo chao kikubwa sio uwezo wa kupembua na kuchambua mambo but ni upambe na umbea.. wenye propaganda hupewa nafasi ktk chama chao.. hopeless MP
 
viti maalum kazi yao kuvaa dhahabu tu mjengoni na unafiki na ushabiki wa kisiasa, wachahe sana wana nidham na busara, lakini kwa trend ya sikuhizi kile kitendo cha kua Magambani basi akili yako inakua kama ya Malaria sugu na mkewe Faiza Foxy
 
Ukitaka kujua Baadhi ya Wabunge wa CCM vilaza na hawajua kilichowapeleka pale bungeni we sikiliza wanavyochangia Dakika tano anatumia kupongeza, then anaunga mkono hoja asilimia mia kwa mia, baada ya hapo anaanza kurodhesha matatizo ya jimboni kwake!! yaani kama komedi vile!
 
Huyu mama ni kilaza balaa. Leo katumia muda mwingi kuponda UDOM. Amedhihirisha ukweli kuwa CCM inawezekana waangalia sifa ya ukilaza katika kugawiana nafasi za utawala hasa hawa viti maalum. Kaponda sana maandamano kuwa yanasababishwa na UDOM. Kasema upuuzi mwingi na anaendelea sasa kilaza mwingine anayewasilisha kuwa TZ haiwezi kuendelea kutokana na madini yake. Ni hatari. Tena huyu ni Dr.
Hata mleta Hoja na wewe ni kilaza hujaeleweka!
 
Huyu mama ni kilaza balaa. Leo katumia muda mwingi kuponda UDOM. Amedhihirisha ukweli kuwa CCM inawezekana waangalia sifa ya ukilaza katika kugawiana nafasi za utawala hasa hawa viti maalum.

Kaponda sana maandamano kuwa yanasababishwa na UDOM. Kasema upuuzi mwingi na anaendelea sasa kilaza mwingine anayewasilisha kuwa TZ haiwezi kuendelea kutokana na madini yake. Ni hatari. Tena huyu ni Dr.

hapo kwenye red eti nini?
 
Back
Top Bottom