Injinia stella matomato (manyanya) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Injinia stella matomato (manyanya)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanakili90, Jun 29, 2011.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Salaam wanajamvi,


  Jana tuliweza kuuthibitishia umma wa watanzania ya kuwa jamii forum ni home of great thinkers,tuliweza kuonesha mapunguf makubwa yaliyopo katika jimbo la kilindi kwa Beatrice shelukindo{mb}.

  Ningependa wanaJF wote kuibua hoja juu ya mbunge huyu zilizomo jimboni mwake ili ajue yakuwa alichokifanya Bungeni leo sicho alichotumwa.

  Nawasilisha.
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  bungeni ni nafasi ya kupeleka kesi ya SMS KWA spika?huu ni udhalilishaji wa bunge.
   
Loading...