Miaka 50 Ya Uhuru wa TANGANYIKA,Tuwakumbuke Mashujaa wetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 Ya Uhuru wa TANGANYIKA,Tuwakumbuke Mashujaa wetu.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mtemiwaWandamba, Jun 29, 2011.

 1. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Kwanza kabisa Viongozi wa kijadi na kieneo walioongoza mapambano
  dhidi ya Wakoloni;
  Kinjeketile Ngwale, Watemi Chabruma, Songea, Mirambo,Isike ,Mkwawa, Kimweri
  Mbega, Sina Meli Mandara, Abushiri Bin Salim,Kingo.Rumanyika Kingalu, Kiwanga...........

  Pili Wanaharakati wa mapambano kupitia Vyama vya Siasa;
  1)TAA: Abdulwahid Sykes,Jumbe Tambaza,Vedastus Kyaruzi, Mzee Mtemvu,Shekhe Ramia...........
  2)TANU:Abdul Wahid sykes,Ally Sykes ,John Rupia ,Julius K Nyerere, Joseph Kimalando,
  Abubakari Iranga, C O Milinga, Tewa S Tewa, Patrick Kunambi,Dosa Aziz Ally,Rashid M Kawawa,
  Bibi Titi Mohamed,..............

  Ongezea orodha unaowafahamu Makamanda waliokuwa msitari wa mbele
  katika harakati za kudai Uhuru wa Tanganyika.......

  Mapambano bado yanaendelea
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wazee waliodai uhuru wa TZ walivyo sasa
  bora wangebaki chini ya mkoloni

  CCM oyeeeeeeeee,anayesema CCM mbaya,mmbaya mwenyeweeeeeeeee

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 3. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Inasikitisha sana. Miaka Hamsini ya kujitawala,hali ni mbaya haina mfano.
   
Loading...