Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KWA KUWA SHIBUDA "AMEISALITI" KATIBA YENU KAMA MNAVYOSEMA ("Maana yake hakiamini chama, hivyo hafai kuendelea kuwa mwanachama na mbunge wa chama hicho,"alisema Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sasa huyu Mkamia ndio Ametumwa na Mafisadi wa kodi zetu aje atetee unyonyaji wa hali ya Juu, msikilize anavyoongopa, Anasema Eti pesa ya anayolipwa kama sitting allowances anatumia kama pesa za...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo katika mbunge pamoja na shutuma mbalimbali , ndg stella manyanya kama mbunde alisema amekuwa anapata message za simu na baada ya kufuatili amegundua zinatoka kwa mke/mchumba wa dr slaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dunia nzima viongozi wema huunda sera za kuwafanya watu wao wawe na umoja, upendo na mshikamano ili kuidumisha amani miongoni mwao, hapa kwetu ni kinyume. Kwa udhaifu walio nao, viongozi wetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangazo la nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tz. Tovuti: www.moe.go.tz. Linasema hivi "Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu ngazi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Nova Kambota Kama kuna jambo linalowaumiza vichwa watanznia basi ni swali kuwa kwanini kila wanalopanga halifanikiwi? au kwanini wananchi ni masikini licha ya maliasili zilizojaa kila kona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau leo mwenyekiti wa baraza la vijana la chadema amefanya mazungumzo na katibu mkuu wa baraza la vijana la chama kinachoongoza ujerumani cha CDU, NIMETOKA KUZUNGUMZA NA BWANA HECHE kutoka...
0 Reactions
92 Replies
7K Views
WABUNGE wameendelea kuirarua serikali katika mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu mambo mbalimbali hasa utendaji wake na baadhi wakienda mbali wakisema kuwa wapo watendaji wanaomdharua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CWT ni tawi la propaganda la CCM, lakini wanajifanya ati ni Umoja wa Wanawake Tanzania. Jumuia ya Wazazi Tanzania unaweza dhani ni taasisi isiyofungamana na upande wowote, lakini angalia picha hii:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama wakati tunapata uhuru tulikua tunalingana uchumi na China,na mabadiliko iliyopata china ndani ya hii miaka 50,kisha linganisheni na namna tunavyoogelea kwenye umaskini pamoja na utajiri wote...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII; CHUO KIKUU CHA DODOMA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII WALIOSIMAMISHWA MASOMO...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa...
1 Reactions
91 Replies
8K Views
Wednesday, June 29, 2011, 8:07 Makala na Uchambuzi, Mtanzania Na Otilia Paulinus, Dar es Salaam KUNA mambo mengi yanayoweza kuvuruga amani ya nchi, kuanzia yale ambayo chimbuko lake ni ndani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Daniel T. Kamna, Dar es Salaam WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, alifanya ziara hapa Tanzania katika shughuli zake mbalimbali nchini alizindua mitambo ya Dowan’s...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Utake usi take huo ndio ukweli Niirejee makala yangu hii kwa kumshuru muumba wetu kwa kutujalia kuwepo katika hali hii tulio nayo hii leo,pamoja na sala na salaam kwa kipenzi chetu muombezi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, Tuzo ya UN ya mshindi wa pili ya...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
LICHA YA KUTOLEWA SIKU TISINI AMBAZO KIMAHESABU ZIMEISHA JUMAMOSI YA TAREHE 25 JUNI 2011 BADO MAGAMBA YAMEGANDA CHAMANI HAWA JAMAA WANA UTANI KWELI NA WATANZANIA WACHA TUONE WATAKUJA NA SERA GaNI...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
The quote from this book quoting Arthur Lewis (1965), might be explaining what is happening now in Tanzania: ......Successful politicians receive, even if only elected to parliament, salaries two...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge cjawah kumuona mzee ndesamburo akichangia hoja yoyote ndani ya bunge. c ile ya posho wala ile ya kususia vikao vya bunge.... wala si ile ya budget ya nchi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wa Tanzania wachangamkie fursa za soko la East Afrika, hiyo ni Kauli ya Raisi Kikwete aliwahi kuitoa, kwa wakati huu kuna fursa ya biashara ya vyakula kweny nchi za pembe ya Afrika na Kenya...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Back
Top Bottom