Mtazamo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtazamo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Benno, Jun 29, 2011.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  HUU NI MTAZAMO
  Ndugu, Watanzania wenzangu, Nimefuatilia mijadala ya Bunge la Jamhuri kwa muda mrefu, natamani kuwe na namna ya kuwahoji wabunge kwa namna wanavyopoteza muda mwingi kutoa misemo ya kejeli kwa wabunge wengine.

  Mbunge kadiri anavyokuwa na uwezo wa kutoa misamiati ndivyo anavyopigiwa makofi mengi.
  Nimeshuhudia Mbunge anaongea mada muhimu kwa utulivu mkubwa anazomewa,
  Akitamka kejeli kwa wabunge wengine hushangiliwa.

  KAMA WAO WANAKATAZA SIASA VYUONI ZINALETA VURUGU, KWANINI WAO WANALETA VURUGU BUNGENI?

  SOMETIME Natamani kuwa na Direct line ya kuwapigia hawa wabunge na kuwakosoa immediately kabla ya mbunge mwingine kuchangia.


  Binafsi nashindwa kutofautisha makundi ya vijiweni lna lugha wanazotumia na baadhi ya hawa wakubwa
  Sina pa kupeleka machozi yangu maana Mabomu ya machozi ni kwa ajili ya Binadamu
   
 2. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hili nimeliona zaidi kwa wabunge wa ccm,mwenzao akiponda wapinzani makofi ukumbi mzima na vigelegele,lakini michango ya msingi na muhimu haswa zikiwasilishwa na wapinzani utawaona wabunge wa ccm wanapiga stori na kucheka..
  Naamini hawapo pale kwa maslahi ya nchi zaidi ni wao na chama... ni kitu cha kusikitisha sana..
   
 3. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red, hao ni chadema hao. tena wengine huwa wanalipuliza kisawa sawa na wakifika tu mjengoni wanakuwa washafika mbinguni
   
 4. B

  Benno JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijafanikiwa kuwatofautisha kati yao
   
 5. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka utamaliza credit za simu yako bure.

  bora hizo simu upigie ndugu zako wa kijijini uwaambie nchi ilivyovurugwa na magamba.
   
Loading...