Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wabunge hawa walioko London mliokimbilia huko baada ya kusikia BAE imeamua kutaka kutoa kupitia NGO's mnajidharirisha kwa sababu nyie kama wabunge mmilishindwa kufanya kazi yenu kusimamia kodi za...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza huenda likamkamata Mbunge wa Busega kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Titus Kamani, ili kumhoji kuhusiana na tuhuma za kutaka kumuua aliyekuwa Mbunge jimbo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makamba amkingia kifua Waziri Ngeleja Send to a friend Monday, 27 June 2011 20:45 0digg Kizitto Noya, Dodoma MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge...
0 Reactions
89 Replies
9K Views
..mtu wangu wa karibu ndani ya CCM amenieleza kuwa wanapanga maandamano hapa Dar kwenda ubalozi wa Uingereza. ..wanataka kushinikiza kwamba serikali ya CCM ipewe "change" iliyozidi ktk mauzo ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi nini kifanyike kubadili mwelekeo wa nchi yetu. Tunashuhudia nchi ikiangamia kwa kukosa huduma muhimu kama umeme na maji, huku maisha yakizidi kuwa magumu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kumuunga mikono miwili M. M. Mwanakijiji katika makala yake hapo juu kwenye gazeti la MwanaHALISI la june 22-23, 2011. Ukweli Baba wa taifa marehemu JULIUS K. NYERERE hana mfano kwa...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Kweli ukomunisti ni unyama. Siasa za kuimba kwaya , kucheza gwaride na kubeba juu picha za viongozi barabarani zilikuwa hazina maana yeyote bali ni utumwa tuu. Nchi za ulaya mashariki zilikuwa na...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Here is a game created for my college to build some familiarity with the cast of characters involved in the struggle for independence in sub-Saharan Africa. How well do you know them?Who would...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ingetungwa sheria inayozuia kutajwa chama fulani bungeni au ilani ya chama fulani ningeifurahia sana, Kwa nini? Hakuna maslahi ya taifa siku hizi bali maslahi ya chama, mbunge yuko radhi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama tunataka kuwa na bunge lenye staha,basi kiti cha spika kitumike ipasavyo. Mlioko nje kupitia runinga zenu bila shaka mmeshuhudia vituko vya humu ndani kanuni ya 68(7) iko wazi....
0 Reactions
7 Replies
1K Views
SERIKALI inatumia zaidi ya sh milioni 50 kwa mwezi kwa ajili ya kugharimia malazi na chakula kwa ajili ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha, anayeishi katika Hoteli ya New Afrika tangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Imeandikwa na Shadrack Sagati, Dodoma; Tarehe: 29th June 2011 NAIBU Waziri wa Fedha, Gregory Teu, leo ameshindwa kujibu swali lililomtaka aeleze hatua zilizochukuliwa na Serikali kuhusu maofisa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
27 June 2011 Dar es Salaam - The government should prepare regulations to guide investors in the power sector, businesses appeal.Their plea comes at a time when the country is grappling with a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF,ninakerwa sana na Chama cha Mapinduzi kupinga kila hoja ya upinzani hata kama hoja hiyo ni ya msingi na tija kwa taifa.......kila jambo na hasa litokalo kwa CHADEMA basi watalivalia njuga...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna vitu viwili vinaendelea hapa tanzania na jf pia.............. Watu wengi wanazungumzia haja na madai ya kuwepo kwa katiba mpya... Ambayo itakuwa ya watanzania,ya wananchi. Itakayowapa uhuru...
0 Reactions
79 Replies
5K Views
Asema kazi ya jamii forum ni kuchafua watu akichangia hotuba ya Waziri Mkuu ,mimi nadhani pia angetoa uwiano wa uelewa wake wa Jamii forum kama vile nani kachafuliwa na kwa nini
0 Reactions
179 Replies
23K Views
Idi Amin Dada (dictator) Idi Amin Dada who was president of Uganda from 1971-1979. Idi Amin killed more than 500,000 Ugandans including opposition leaders, foreign investors, and even...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
By In2EastAfrica - Wed Jun 29, 10:56 am Zanzibar Minister for Justice and Constitutional Affairs Abubakar Khamisi Bakari Zanzibar Minister for Justice and Constitutional Affairs Abubakar...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
natafuta nyimbo za sisi tambala
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom