Sera ya Kilimo na Mifugo ya mwaka 1999 imewasaidiaje Watanzania?

Mbega Mzuri

Member
Aug 1, 2008
44
2
Wadau, nahitaji mchango wenu, kwa yeyote anayejua kuhusu Sera ya Kilimo na Mifugo nchini, je, imefanya kazi ipasavyo? Imewanufaishaje Watanzania hasa wale wa makundi yaliyosahaulika ama yanayogandamizwa katika jamii kama wanawake? Bei za mazao zinawiana na gharama halisi za kilimo? miundombinu na mambo mengine yako sawa?

Tafadhalini, nahitaji mnisaidie.
 
kimsingi hizi sera ni mchezo wa sarakasi. hiyo sera ni old version maana mwaka 2006 iligawanywa sehemu mbili National Livestock Policy of 2006 na ya pili siifahamu jina lake. Ukitaka hiyo sera ya mifugo ya 2006 ni-PM
 
Back
Top Bottom