Nape amchana lowassa live safari radio mtwara.

Nipe tano

Senior Member
Jun 16, 2011
100
27
Leo nimemsikia Nape Radio Safari MTWARA akiombwa kutoa maoni yake juu ya kauli ya LOWASSA KUWA serikali na CHAMA ...CCM... Wamekuwa waoga kuchukua maamuzi magumu.
Nape akaanza kwa kumshangaa LOWASSA na kuhoji " SIDHANI KAMA MHE. LOWASSA AMESAHAU KUWA HATA KUFUKUZWA KWAKE NA BUNGE ILIKUWA NI UAMUZI MGUMU SANA KWA CHAMA,SERIKALI NA RAIS AMBAYE ALIKUWA RAFIKI YAKE.?" Akaendelea KUSEMA " HIVI KUJIUZULU KAMATI KUU YOTE YA CCM HAUKUWA UAMUZI MGUMU?" " UJENZI WA UDOM AMBAYO HATA KWENYE ILANI HAIKUWEMO HAUKUWA UAMUZI MGUMU? Anahoji Nape.

Mytake.
Nape anajiamini NINI? KANIKUMBUSHA KAULI YA SOKOINE KWA MWL......." ukitukanwa na mtoto BASI ujue KATUMWA NA BABA YAKE.....
 
Unadhani Nape ana akili leo amekuwa wa kumtukana Lowassa? Shem on Nape.....Waache wamalizane tu.
 
Mkuu umenena! huo esemi nimeupenda san kuwe ukutukanwa na mtoto jua ametumwa na baba yake nami naongeze hapo . KAMA HAJATUMWA NA BABA YAKE BASI MTOOT HUYO ANA DHARAU, kwa hali ilivyo mtoto katumwa na baba zake ili aendelee kutukana, keep on mooving nape we endelea na kuwatukana tu hao mpaka tuone mwisho wake. siku 90 zinakaribia kuisha
 
Anapanda mtama asitegemee kuvuna mpunga? Acha aongee atavuna anachopanda!
 
akimjibu nape na mimi nitamdharau, na nitamuondoa kwenye mashujaa wa kifisadi japo cheo chake cha ufisadi atabaki nacho.

siyo lazima ajibu yeye,anaweza tafuta ma puppet chamani,akawapa ma datas na sumu zote,halafu yeye anatulia tu kama hajui kinachoendelea!
 
Maneno matupu tu ya Nape tumeshamzoea na ccm yake,mbona hawajachukua hatua mpaka leo?au siku 90 ilikuwa swaga(kamchezo kao)tu za ccm?
 
Maneno matupu tu ya Nape tumeshamzoea na ccm yake,mbona hawajachukua hatua mpaka leo?au siku 90 ilikuwa swaga(kamchezo kao)tu za ccm?
Siku 90 ni wiki ijayo tu we subiri zikipita Konya basi we ongea.
 
edo hawezi kumjibu nape,ni kweli ukiona mtoto kaja kukutukana ujue katumwa na baba yake,edo anamsubiri baba. dhuluma wanazofanya CCM kwa watanzani ndiyo inayowamliza sasa!
 
Ukiona hivyo Lowassa hana lolote la kujibu, na yeye akabakia salama asivishwe pingu. Hana majibu na hana uthubutu wa kujibu chochote, na hata hiyo press conference aliyotishia kuitisha before vikao vya chama kukaa hana ubavu wa kuifanya. Lowassa mjanja na anajua mwenzie JK anakinga ya urais kwa kutoshitakiwa kwa makosa ya kiutendaji(ingawa this part is very controversial), yeye je?... Tafakari.
 
NAPE tumia akili EL anazungumzia juu ya maamuzi magumu kuleta maendeleo!wewe unazungumzia maamuzi magumu ya ujinga wa siasa ambao hauna manufaa kwa wananchi!
 
Katumwa na nani ?Mbona anangaka akiwa mbali na nyama,lakini akiwa karibu au uso kwa uso anagwaya?
 
Back
Top Bottom