Dr Slaa vipi siku tatu hazijaisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa vipi siku tatu hazijaisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TETEA WATU, Jul 25, 2011.

 1. T

  TETEA WATU New Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa Arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina, na ripoti za ujanja ujanja za kina Kigaila na Mrema wanalinda matumbo yao na sio uhalisia wabunge wako wanajihami.

  Nawe bila kufanya utafiti unakurupuka vipi sasa mbona kimya au mkakati ulivyoambiwa uwe unasikika kwenye vyombo vya habari kila mara sio kuropoka hovyo bila utafiti wowote ni kujidhalilisha sana,wabunge wako wanajiona wao wako sahihi kila mara zunguka sehemu nyingi siyo kudanganywa na ripoti za kinafiki na majungu ya kina benson wagombea shindwa wamechoka hawana lolote mnatengeneza mazingira ya vijana wengi kurudi ccm na vyama vingine jitathimini sana kiongozi wangu siyo kukurupuka
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  acha matusi mkuu, hata kama unamchukia siyo hivyo, tambua kuwa unajidhalilisha mwenyewe kwa kukosa busara.
  soma thread zinazohusu hilo unaloulizia utaelewa kinachoendelea.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pumbavu kabisa!
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vipi best mbona umeamka na hasira sana na Dr W.P Slaa?
  inaelekea amekuumiza sana usiku mpaka umeamka una hasira naye.
  Ili ujue kuwa CDM inaongozwa ki-taasisi hapa ndo utajua kuwa hata Dr Slaa anapaswa kufuata misingi ya
  kuongoza ki-taasisi kwa kufuata kanuni na sheria ambazo imejiwekea,na si kukurupuka kama unavyodhani watafanya.
  Maamuzi ambayo yatatoka ndiyo maamuzi yatakayo kiimarisha chama kama taasisi na sio kampuni ya mtu hapa.
  Kwa hiyo dogo uwe na kiasi,na wakati mwingine ujue jinsi ya kutoa maneno yenye kukidhi haja ya kujibiwa hoja yako na si kukurupuka na kutoa matusi ya nguoni hapa jf kwenye great thinkers,ukitukanwa unaanza kulalamika.kuna watu wana matusi mpaka unakonda.
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tatu mara tatu ngapi?
   
 6. c

  chief m Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amewagwaya alipotamka alisahau hayo? Awatimue aone kama moto haujamwakia
   
 7. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mleta mada lazima ni mutu mukubwa sana ndani ya CCM
   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  Magamba mbona Lowassa mmemshidwa? mnaanzisha vita wakati nyumba yenu ya vioo -- mwageni mbona muone shughuli yake.
   
 9. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Cdm nao kama kagamba kameanza kuwaota vile!!
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  anaweza kuwa mukubwa sana ila hana busara. lol
   
 11. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Hahaha ya kwamba serikali sio mvua siyo, tatizo la umeme ni la ukame? eh??????
   
 12. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ndugu siku tatu kama zimekwisha sasa subiri uamuzi sahihi wa chama, kuwa mvumilivu, kama umeweza kuvumilia siku 90, zikaisha na sasa unavumilia mpaka milele unashindwa kuvumilia hili la Chadema!?, ila jaribu kuhusisha ubongo wakati mwingne mkuu Dr Slaa anastahili Heshima hata kama aliguza maslahi yako haramu vumilia ndio mambo yanavyokwenda.

  Na bado mtaucheza Muziki wa Dr mpaka mtie akili.
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Umemnukuu vibaya alisema miezi mitatu!
   
 14. jasirimali

  jasirimali Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada mbona unakurupuka sana? Mbona unauliza maswali na kuyajibu we mwenyewe? Unauliza au unatoa majibu yako ya kufikirika?
   
 15. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  inaonekana we muanzisha thread ni mtu wa mipasho sana!
   
 16. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Au umetumwa? Miezi mitatu mbona hatukuona umeweka thread humu?
   
 17. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Join Date : 22nd May 2011
  Posts : 3
  Rep Power : 0

  Poleni wachangiaji wengi kuchangia mada ya Zuzu. Hizo ndizo taarifa zake. Thread anaandika hadi ipitishwe na Chama lao
   
 18. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh, mbona watu wa JF mmekuwa wakali sana siku hizi? Au ndiyo uhuru wa kuongea umewakolea?
   
 19. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa akili hii hata baba yako you do call him names .Hii si tabia ya Watanzania sisi kuwakosea heshima watu wenye heshima zao .Kilaza mkubwa wacha niishie hapa .
   
 20. k

  kabyex Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katumwa huyu.
   
Loading...