Tumevumilia sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumevumilia sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mosachaoghoko, Jul 26, 2011.

 1. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchi Tumevumilia sana,Tumesubiri sana tumeonewa sana ,tumeteseka sana, Yote haya tumefanyiwa na serikali ambayo tunaiweka madarakani kwa matarajio kuwa itatusasidia ila hakuna msaada wowote tuupatao toka kwa viongozi wa serikali,Bunge na Mahakama sasa kuna kila aina ya sababu kufanya maamuzi magumu sisi wenye nchi wewe katika muono wako ni maamuzi gani magumu tunayotakiwa kuyafanya
   
 2. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Serikali hii ya kuchakachua....

  Hata maoni yangu yatachakachuliwa.

  Tuiache imalize muda wake ila tuwe wallimu wa jamii zetu kuhusu umuhimu na thamani ya kura zao,
  si sawa na kanga au kofia
   
 3. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Is that thing between your ears really working???
   
Loading...