wabunge hawa wanajihami majimboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge hawa wanajihami majimboni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TETEA WATU, Jul 25, 2011.

 1. T

  TETEA WATU New Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  migogoro mingi ndani ya cdm inayohusu madiwani hasa kwenye halmashauri za majiji ya arusha na mwanza ni kujihami kwa wabunge wa majimbo husika jf imebaini taarifa toka kwa wadau wa karibu mbunge wa arusha mjini lema anamuhofia mshindani wake ESTOMIAH mallah diwani wa kimandolu vivyo ilivyo kwa ezekia wenje anavyomhofia chagulani adams diwani wa igoma,habari kutoka arusha ndani ya ripoti ya malando na kitila dr slaa aliyoinyofoa ukurasa wa 13 inasema lema ndiyo chanzo cha cdm kutokushinda umeya mana alikuwa anavujisha habari za vikao vya cdm na madiwani wa ccm lengo kujihami na ushindani toka kwa mallah hatimaye alifanyikisha hilo na kuiingiza cdm kwenye mgogoro mkubwa arusha uliyopelekea maafa makubwa,wenje nae aliingiza viongozi wa cdm mkenge kwa kuwaingiza choo cha kike kwa kupanga matokeo ya nani awe meya wa mwanza ili kumdhibiti mshindani wake ndani ya chama chagulani aliyekuwa akitarajiwa na wengi jijini hatimaye leo anakuja na majungu kuwa chagulani afukuzwe amehongwa na ccm kuvuruga cdm mwanza ili abaki peke yake hii mambo ndiyo inayowafanya wawili hawa kugombea ujumbe wa kamati kuu cdm kama njia ya kujihami malalamiko ni mengi toka kwa madiwani cdm ambao wamekuwa wakilalamikia mienendo ya wabunge wao hata chama kutowapa semina au kuwakutanisha ili wafahamiane na wawe na mtu wa kuwasemea kwenye cc ya cdm kama wagombea walioshindwa walikutana wao vipi wakati wanachangia ktk ruzuku ya chama kitendo ambacho kimewafanya wajione wasiohitajika madiwani takribani tisini wa cdm waliokutanu hivi majuzi wametishia kukihama chama hicho orodha na ushahidi tunao wa sahihi za madiwani hao wanaopinga wenzao wa arusha kuonewa wakati wanasimamia kweli unawengine wanaolalamikiwa wataje hapa tujue orodha yao
   
 2. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Usilete siasa za magamba hapa, kuwafanya watu hawajui kinachoendelea ndani ya CCM kuwa kazi yenu kubwa ni kuleta uchonganishi, uchochezi kama mashangingi yasiyo na mabwana. Nyie CCM ni fitina wizi uzandiki umbea, yaani kila kitu kiovu ndicho kinawafaa.
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wewe ni bonge la ZOBA mambo yako ya kinafiki peleka hukohuko kwa Magamba yenu Chadema hatuna mambo ya kipuuzi hivyo
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tusiukimbie ukweli,huo ndio ukwel kwa mwanachadema wa ukwel anajua na kwa shabik wa chadema anaweza hasijue.
   
 5. t

  tweve JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  umbeya mtupu!mbona yenu hamsemi !mmesahau kuwa mmewapa madaraka viongozi wa ccj ndani ya ccm bila kujua sasa hivi wanawavuruga mpaka mnashindwa kwa kufia .cdm si saizi yenu.saizi yenu nyie ni tlp.mtakoma kuwafanya watangagiza wajinga.shame on u!
   
 6. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mambo ya kike hayo kazi kusemana bombani.nenda kasuke kwa mashoga zako.
   
 7. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wana cdm tuache ujinga, tukae chini na kufanyia kazi taarifa hiyo; kila lisemwalo tusione ni upuuzi, yaisje kutukuta mambo mabaya mbele ya safari
   
Loading...