Wabunge CCM wamerogwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge CCM wamerogwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wakitei, Jul 25, 2011.

 1. w

  wakitei Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  UTASIKIA HIVI : mbunge ansema hivi Naipongeza serikali kwa kazi nzuri iliyofanya ( mh spika )kuna watu leo wanabeza maendeleo kwa kutafuta umaarufu ; Kisha utamsikia ( Mh spika ) jimboni kwangu hakuna dawa kwenye hospitali , barabara mbovu , hakuna walimu na nyumba zao pia hamna ajira kwa vijana imekuwa tabu kupata ajira na mengine mengi . SASA HAWA WAMECHANGANYIKIWA AKILI AU ??
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  unafiki unawasumbua ccm!wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao.na bunge likiisha anarudi dar kinondoni badala ya kwenda jimboni kwake mbinga
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  itakuwa eeeti eeeh!
  SERIKALI IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA SAANA KATIKA ELIMU ILA WALIMU HAKUNA KABISA NA VITABU!
  sasa elimu gani wabunge waccm wanasema inamaendeleo nakubwa!?
   
 4. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  "ndiyo wamerogwa!"
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  wabunge wa CCM ni watetezi wa chama chao , hawana time na wapiga kura wao, yanaudhi yaaani, we ngoja tu.
   
 6. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  WANAFIKI WAKUBWA HAO WABUNGE........................

  NA hao wananchi WANAORUDIA KUWACHAGUA NI WANAFIKI MARA MIA!
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,583
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Hawajarogwa bali wamezaliwa wakiwa na mtindio wa obongo,ni mataahira.
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Mmmmmh....si kweli kuwa wamerogwa ila ni mazumbukuku
   
 9. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi nnapofuatilia hoja zinazotolewa na wabunge wa ccm bungeni huwa nahisi dhamira zao haziendani na wanachokisema. Hawa wabunge wapo bungeni kutetea upupu wa serikari ya magamba.
   
 10. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Hapo utakuta amesha vuta ile fedha ya hongo kwa ajili ya kupitisha bajeti
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  maisha yawe magumu mara kumi ya sasa hivi ili watie akili na wakome kuichagua ccm kijuha...jk chapa mwendo sijaona bado..hivi trip ijayo ni wapi vile??!!!!
   
 12. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jamani hata baada ya Jairo na Mh. Kafulila kuwafumbua macho baado tunashangaa kwanini wabunge wa ccm wanafanya kile wanacho fanya !!!. Ule machango wa Jairo kwajili ya kupitisha bajeti unawafanya waonekane vituko. Lkn tunashukuru 40 zao zimefika. Zambi na mwenzake nao wametoa somo kumbe wakienda Halmashauri wanavuta mshiko na kunayamazia maovu. Wanabwabwaja na mwisho kuunga mkono hoja 100/100.
   
 13. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Utasikia wengine wakisema naunga mkono hoja 100%,mh. Spika lakini Jimboni kwangu hakuna maji....Kama kuna matatizo mbona ameikubali bajeti 100%.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kwa kweli ningekuwa nauwezo ni kukamata wabunge wote wa magamba chapa viboko 12 kila mmoja halafu rudisha wote vijijini kwao wakalime tena kwa jembe la mkono kwa miaka mitano bila kuja mjini waone jinsi maisha ya kileji yalivyo!
   
 15. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  hawaja logwa hata kidogo wanakariri majibu......mambumbuuu
   
 16. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Aliye waroga yupo hajafa na wana mjua wao. sasa na kati ya wao na upinzani wana beza maendeleo?
   
 17. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  wamerogana hao,......
   
 18. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  He he heee! Ukisikia hivyo ujue wamepitiwa na yule kirusi anayeambukiza ugonjwa uitwao MAGAMBA!!! Mojawapo ya dalili za ugonjwa huo ni kusinzia hata ukiwa kwenye issue muhimu... Kirusi huyo kitaalam anajulikana kama JAIROpûrtõmusís....
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Unafiki mtupu!! hiyo ndio tofauti kati ya wabunge wa CHADEMA na wale wa SISIEM
   
 20. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Wamekaririshwa.
   
Loading...