Maandamano makubwa ya kumng'oa mbunge bandia wa SHY MJINI yaja

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
[h=2][/h]
Ni kweli naamini masele au hata wapambe wake , hata akina Ridhiwan na Bashe waliomtuma aje kugombea halafu akashindwa vibaya naamini mmoja wenu yumo humu kwa kweli huyo ndugu mimi kama mwanashinyanga hatumhitaji , ni heri tusiwe na muwakilishi kuliko kuwa na muwakilishi ambaye siyo chaguo letu.
Pia wewe Masele kama wewe ni mzalendo, tena naamini ni mzalendo maana nakufahamu vizuri ila najuwa unaogopa kujiuzulu ubunge kwa sababu ya madeni makubwa unayodaiwa ila kwa kinywa chako uliwahi kuniambia huna raha na huu ubunge wako maana hata kanisani ulipokuja shy ulikuwa unasindikizwa na polisi, sasa huo ni wa nini,
Ombi langu kila mtu ameona ni mengi tu ambayo Makamba aliwadanganya wewe ukiwemo kuwa komaa tu baada ya miezi miwili au mwezi wananchi watasahau, watanzania wa leo siyo wale wa enzi za Makamba na kingunge, ndiyo maana mwenzio Kaijage yameanza kumtokea puani, Sarakana Kafuta kesi, Masumbuko Lamwai anambembeleza Marando amuombee msamaha kwa watanzania ili naye aje CDM, maana hivi hivi si CHADEMA tu hata wananchi wengine hawatamuelewa, pia mwakyembe kapigwa mawe kwao na kuzomewa, sasa ndugu yangu Masele wewe ni Kijana mwenzangu aliyekudanganya uchukue ubunge kwa mabavu ameonekana ndani ya Chma chenu ni Gamba na ameenda kuwaandalia makao, Ridhwani mwenzio ni Billionaire na kesho Limtikila linampeleka mahakamani kama yeye hataenda maana 7dayz alizotoa zinaisha leo, kwanini na wewe usiache tu huo ubunge usio na faidi kwako na familia yako
Historia itawahukumu haa wanao kuwa baba yenu aliongoza kwa mabavu SHY mjini bila RIDHAA YA WANACHI, utaharibu hata future ya kizazi chako maana wa Tanzania wa leo siyo wa kesho
Na labda tu kwa kukukumbusha kuna shujaa wetu mmoja anaandika kitabu kuhusu yote yalijojiri kwenye kampeni za ubunge , matokeo ya kila kituo anayo na jinsi wewe,. rpc, mkuu wa mkoa na mkurugenzi mlivyobadilisha matokeo hicho kitabu very soon kitakatoka na kitakuwa na title "Uchakachuaji wa matokeo shinyanga mjini, Bogus alizawadiwa ushindi na mabogus wenzie", sasa hicho kitabu kitabaki kuwa ni kumbukumbu hata kwa wanao na wajukuu zako
Taarifa tunazo kuwa mara tu baada ya kifo cha shelembi ulimlipa hata mwanasheria wako na ulifanya party kwamab yamekwisha ulijidanganya , ngoma bado mbichi, tumeshindwa kukutoa kwa sheria tutakutoa kwa mbinu tunayoijua sisi na moja wapo ni maandamano kuwa hatukutaki
 
Mtoeni tu ndiyo watajua kwamba hamkutaka .Zao ni kulazimisha kila kitu kisa wana majeshi na kila kitu .Shame on them hakika .
 
Kama ni maandamano nawashauri mvae nguo za CCM na kofia ili kuepusha itelijensia ya saidi mwema.
 
nilidhani tayari mmkwisha anza kumbe bado...toeni huoyo mtu haraka sana..

mobilize watu ...simama njia panda..wambie kesho asubuhi mkusanyike pale stendi ya mabasi na muanzie hapo......huyo masele mwenyewe jf kama yupo basi ni guest na siyo memba humu.....mtoeni haraka sana mnachelewa.....
 
Poleni sana kuwakilishwa na bogus! Litoeni mara moja kwan litawaharibia!
 
Nasikia kuna raia wamepanga silent assasn coz sanduku la kura ckuizi co suruhu! Tujuzeni ukweli ktk hili wana-shy!
 
Afadhali muanze ninyi kumtoa nduki na wengine wafuate nyayo! peoplesssss powerrrrrrr!
 
CDM mlishinda kwa kura ngapi hilo Jimbo la Shinyanga? Na Dr Slaa nae mliwahi kusema alishinda Urais! Dr Slaa amelizika hamuandamani tena Wazee wa Magwanda?
 
ukombozi uko karibuni waingereza wanasema true independence is soon coming cz hawa mafisadi wameshaanza kutimuanatimua wamenza na mzee wa mipango ..15 si mbali watz tutakuwa huru na huu ukoloni Mambo leo wa magamba peoplez power is around the corners waiting 4 the initiator!
 
Hii thread nahisi imeletwa na mtu toka kijiweni baada ya kumuona Maselle somewhere!Haina startup motion as if some one came from soundsleep and shout on his/her nightmare.Let us forget about cheap politics and poor frequent mobilization/demonstration behind the keyboard for the sake of airing weak thread to comments.
 
Muda wa kurudisha ripoti ya kukatika kwa umeme uwanja wa taifa siku ya fainali ya kagame haujafika bado?am so excited kusikia tatizo lilikuwa ni nini.
 
watu wa shinyanga nyumbani kuna kitu kimoja napenda tushirikishane ni kama ifuatavyo:

sisi wakazi wa huu mkoa tumeshazoea bora liende ili maisha yaende, kulidhika na vitu vidogo ambavyo havina umuhimu kama kofia au vilemba cha mwisho ni uoga hakuna watu waoga wa serikali kama watu wa shinyanga.

na hivyo ndio vitu vikubwa vinavyowadidimiza kimaendeleo wanashinyanga wenzangu..

N
 
CDM mlishinda kwa kura ngapi hilo Jimbo la Shinyanga? Na Dr Slaa nae mliwahi kusema alishinda Urais! Dr Slaa amelizika hamuandamani tena Wazee wa Magwanda?
haya MWANAGAMBA hujui haki na huithamini haki ukweli ni hata hicho chama chako cha GAMBA hakikushinda jiulize ni watanzania wangapi walipiaga kura? kumbuka hata huyo mwenyekiti wa GAMBA aliwahi kusema wakati wakuapishwa kuwa alitumia nguvu za ziada je ni nguvu gani za ziada. Kumbuka kuwa Dr Slaa ni rahisi ataendelea kuwa Raisii wa moyoni kwa Watanzania na Huyo mwenyekiti wako atabaki kuwa mtawala wa mabavu na hila
 
Back
Top Bottom