Nape na Chiligati kusimamia kampeni CCM Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape na Chiligati kusimamia kampeni CCM Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamwamwa, Jul 25, 2011.

 1. z

  zamwamwa Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari kutoka ndani ya vikao vya CCM zinasema kampeni ya CCM Igunga itaongozwa na Capt. mstaafu wa jeshi la wananchi wa Tanzania John Zephania Chiligati na Mwanasiasa kijana Nape Moses Nnauye.

  Natamani kuziona kampeni hizi, eeh mola nijalie uzima nishuhudie jinsi ngamia anavyopita kwenye tundu la Sindano
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  zamwamwa

  Join Date : 16th June 2011
  Posts : 3
  Rep Power : 0
   
 3. Erick G. Mkinga

  Erick G. Mkinga Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaamini Ushindi uko Upande wao...ili wakishindwa waseme tumeiba...Utasitaajabu Ya musa ...CCM oyeeeee.
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli wakienda hawa tu bila ya polisi na mizengwe ya kijinga basi watashindwa kwa mbaaaaaaaaaaali wala hata wasijaribu .Hizi joke zenu acheni bwana .Hao watu ni watupu mno hata akiwapo JK bado mtupu .Wizi na matumizi ya polisi ndiyo yanayo wapa ushindi kila siku .Waweke tume ya uchaguzi iwe ya wote uone moto huo .
   
 5. N

  Nipe tano Senior Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MBONA Chama Cha Demokrasia na Maandamano kimeshashindwa HATA KABLA mpambano KUANZA? SHERIA ZA uchaguzi haziruhusu KUANZA kampeni KABLA ya MUDA na Chandimu washaanza kampeni mapema, they wonna be knocked out technically..... Uchaguzi ushaisha....poor CDM
   
 6. p

  politiki JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  anayekatiwa rufaa kwa kuanza kampeni kabla ya muda ni mgombea, sasa kama unamjua mgombea wa chadema alieanza kampeni basi unaweza
  kumweka wazi ingawaje unaonekana kuanza kuogopa kivuli cha mgombea wa CDM kabla hata ya kumuona mhusika mwenyewe.
   
Loading...