ushauri wangu kwa jk na wasaidizi wake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri wangu kwa jk na wasaidizi wake.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by majata, Jul 26, 2011.

 1. majata

  majata JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  kufwatia hali mbaya ya uchumi inayolikabili taifa na mtu mmoja mmoja, na sababu kuu ya hali hii mbaya ikiwa ni umeme, namshauri jk azingatie yafwatayo:
  1 uvumilivu wa watanzania je utaendelea mpaka lini kwa mtazamo wake?
  2 je kunahaja ya yeye kusafiri safiri wakati ktk baadhi ya nchi jirani hali za uchumi zimeanza kusabisha misuguano kati ya raia na serikali zao?
  3 ana jitihada gani za makusudi za kulinusuru taifa kutoka katika hali hii mbaya.

  Mh jk,
  Hali ya usalama inapunguzwa kwa kasi sana na swala la umeme, hasa ikizingatiwa kwamba ninyi viongozi mara kadhaa mmenukuliwa mkisema hamna jinsi kwasababu ya upungufu wa maji ktk mabwawa, mlipochaguliwa na wananchi waliwaamini kwamba mtafanya yale magumu kuwa mepesi, jihadharini sana na doa hili la umeme.
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa na familia zao hawajui kitu kinaitwa mgao wa umeme, sehemu wanazokaa ama hazipo kwenye mgao au kama kuna mgao kila nyumba ina generator iliyonunuliwa na kodi za wananchi na gharama za mafuta pia ni kodi za wananchi. huo mgao wanauona pale tu wanapokuwa wanapita mitaa ya walala hoi.
   
Loading...