Hatimaye JK achemsha tena kumbukumbu za mashujaa!

Maskini Jeuri

Member
May 9, 2011
80
10
Wakuu nawasalimu sana.
Leo tena mkuu wetu wa nchi katika hali ambayo ni ya kizembe
Kaaga na kushuka kwenye jukwaa akiwa amesahau kabisa kuwa
Ameongozana na viongozi wenzake wa nchi. Alipofika chini ya
Jukwaa ndipo anakumbuka mabwana wenzie, kwa haraka na aibu
Akarudi na kuanza kuwaita mmoja mmoja kuwasalimia wadanganyika
aliwaita makamu wake, kisha Shein, pia balozi lakini ccm B hakuwepo.
Kumbu kumbu imefana ila karibu brother angeleta dosari. Kwani hana to do
List?
Nawasilisha!
 
Du!!! pole jk kwa hali hii inayokusibu, wataalam wa mambo ya afya na psychology hawawezi kukulaum kabisa.
Si bure hata usahau kumtambulisha makamu wako na Rais wa Zanzibar!
Kwa kweli ningeweza kukufikia haraka ningekuomba uachie nafasi hiyo japo kwa mwaka mmoja ili hali yako ya irudi kawaida.
Hii ni demage ya cotex inayoratibu matendo yasiyo ya hiyari na inaingiliana na pon inayoratibu utashi.
Sijui nini kinasababisha apate hali hii, pengine ni kuhusu umeme, au jairo au lowassa!!! SIJUI
 
Bora hasinge rudi maana kurudi ndio kunaonyesha kuwa alisahau, bora angejifanya kuwa ndio mtindo wake badala ya kuonyesha kuwa hana kumbukumbu, Nadhani sasa hivi nchni inaongozwa na Luhanjo na watu wake.
 
Pia muda mwingi askari alimshikilia bega
kwa nyuma akiwa amesimama. Doc mshaurini
Apumzike pengine anaumwa. Aachie wenye
Nguvu ya hoja wafanye kazi.
 
Pia muda mwingi askari alimshikilia bega
kwa nyuma akiwa amesimama. Doc mshaurini
Apumzike pengine anaumwa. Aachie wenye
Nguvu ya hoja wafanye kazi.
aaachie hahhaha kazi sana hasa kwamswahili mpenda sifa na totooozi!
 
Nimemuona huyu baba kasahau kutaja wenzie,huu ni msongo wa mawazo lakn amewaalika wana Mtwara waonane nae baadae mchana then watazungumzia mambo mbalimbali mfano Umeme,barabara so wadau mliepo hapo Mtwara msisahau kuleta atakayosema huyu mzee mana najua kaishiwa kwa sasa
 
Huyu prezidaa anahitaj adequate rest, yeye kila siku kiguu na njia. Na alikuwa anapepesuka.
 
Du!!! pole jk kwa hali hii inayokusibu, wataalam wa mambo ya afya na psychology hawawezi kukulaum kabisa.
Si bure hata usahau kumtambulisha makamu wako na Rais wa Zanzibar!
Kwa kweli ningeweza kukufikia haraka ningekuomba uachie nafasi hiyo japo kwa mwaka mmoja ili hali yako ya irudi kawaida.
Hii ni demage ya cotex inayoratibu matendo yasiyo ya hiyari na inaingiliana na pon inayoratibu utashi.
Sijui nini kinasababisha apate hali hii, pengine ni kuhusu umeme, au jairo au lowassa!!! SIJUI

Hali ya kawaida tena mkuu? hapo ndiyo yuko katika hali ya kawaida mkuu.......hajawahi na hatawahi kuwa better than alivyo sasa.Otherewise it'll just remain a miraculous anticipation......

Bora hasinge rudi maana kurudi ndio kunaonyesha kuwa alisahau, bora angejifanya kuwa ndio mtindo wake badala ya kuonyesha kuwa hana kumbukumbu, Nadhani sasa hivi nchni inaongozwa na Luhanjo na watu wake.

Sijui kama kuna siku alishawahi kuonyesha uwepo wa kumbukumbu.....I mean ni lini alishawahi kuonyesha kukumbuka anyways?
 
Akipaa siku nyingine aende kimojaa asirudi maana hana msaada...
Crash, mie nitagaramia free pass ya kule atachaguaKuishi na ticket as hiyo jet ataacha hapa hap as Hatakuwa rais tena. Tukishindwa kuiendesha hakuna kuita kaburu bora tuipark! Kwani inaleta hasara tupu.
 
Kama hajui ni kwanini wananchi wake ni masikini kwanini asiwasahau na hao viongozi wenzake?
 
Vasco dagama ndio nani tena?

Explorer Al-maarufu katika historia ya dunia!! SIFA KUBWA ya Vasco ilikuwa KUSAFIRI SEHEMU MBALIMBALI za dunia......Kwa mwenendo wa KIONGOZI wetu wa taifa na safari zake...Naamini utajua nani VASCO..Nahitimisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom