Lusinde: Kilimo siyo uti wa mgongo kwa sasa

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Huyu dogo kumbe mkali hivo! Wakati anachangi bajeti ya wizara ya kilimo, amesema kwamba serikali haiko makini kwenye kilimo, ile kauli ya kilimo ni uti wa mgongo imeshakufa, wakulima wamechoka wamechakaa. Anasema wabunge wamekuwa wakali kwenye umeme kwa sababu nyama hazigandi kwenye friji, lakini kwenye kilimo wametulia tu utadhani wamelogwa. Bajeti kubwa ya kilimo inatengewa mkoa wa Dar es salam, anahoji huko dar wanalima kwenye magorofa? Ameponda bajeti kuanzia mwanzo mpaka mwisho, ameunga mkono hoja. Kazi kweli!
 
Back
Top Bottom