Jk anapogeuka mc mtwara................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk anapogeuka mc mtwara................

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Jul 25, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Katika kile kinachoonekana kama kukosa umakini au kutokuwa na wasaidizi makini...Leo asubuhi mkuu wa kaya JK aligeuka kuwa MC katika sherehe za mashujaa pale Mtwara...JK alifanya kituko hiki pale alipoombwa atoe salamu kidogo kwa wananchi,baada ya kuwasalimu akaanza kushuka jukwaani,lakini baada ya kufika chini alipanda tena jukwaani na kusema kuwa nimesahau kuwatambulisha makamu wa Raisi na Raisi wa Zanzibar..na ndipo JK alipogeuka MC kuanza kuwatambulisha hawa wageni....Wana JF je? Hii ni acceptable kwa cheo kama cha raisi?
   
 2. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa sisi tuliokuwepo pale uwanjani tuliona ni tukio la kawaida tu.............maana hakuna mtu asiye sahau. Yaani huyo JK anayesemwa hapa kila siku kuwa ana mapungufu kibao, itakuwa ajabu kusahau utambulisho. Watu wanasahau kutambulisha mke, watoto au wazazi ndo useme hao wengine.

  Mimi kwanza namfurahia JK huwa hapendi kucomplicate mambo na kufuata itifaki kama mtu aliyesomea siasa urusi miaka ya 1960s na 70s.

  Mtikila aliwahi kusema 1999 kuwa kitendo cha yeye kumkosoa Nyerere kinatakiwa kupongezwa maana kwa kufanya hivyo anadhihirisha kuwa Nyerere alikuwa Mwanadamu hivyo mwenye mapungufu yanayostahili kukosolewa.
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Raisi kazoea kupungia mkono raia wa nchi nyingine so alifikiri bado yuko sauth africa
   
 4. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Kumbe kutambilisha ni kazi ya MC!!.. Kweli mi mshamba... Sherehe zote nlizowahi kuhudhuria mamc hawawagi watambulishaji!..
   
 5. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kama raisi alikuwa mtambulishaji mgeni rasmi alikuwa ni nani?
  hakuna kutetea ujinga hapa wanafanya hivi mpaka ofisini, tunawalipa mamilioni ili wawe sahihi kila wakati
  na ndio maana anawasaidizi kibao kwa maana hiyo kutokea makosa lazima kuwe na wakuwajibika , raisi sio mtoa utambulisho bana
  hasa kama hakuna maraisi wenzake kutoka ng'ambo hii kaweka record nyingine tena
   
 6. kishoreda

  kishoreda Senior Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  upupu mtupu hamna point
   
Loading...