Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kipindi Makinda kawaachia kigoda vinyozi mbadala imedhihirika kweli hana wasaidizi isipokuwa Mh. Simbachawene. Wadau mwalionaje hili.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani eeh- hii nimepata kali sana. Kuna habari zinasema kwamba lipo pendekezo katika kamati kuu za CCM, yaani NEC na CC yake kwamba Maalim Seif awe anahudhuria baadhi ya vikao hivyo kama observer...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa maoni yangu naona haikuwa sahihi kumpambanisha Mnadhimu Mkuu wa Chadema Bungeni Tundu Lissu na Naibu Spika, Job Ndugai kwani nafasi zao hazilingani. Ilitakiwa Lissu angepambanishwa na...
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Mara nyingi tumewasikia wabunge toka CCM na viongozi wa serikali kuwa wananchi wataamua kuhusu tabia ya wabunge toka CDM. Sielewi vizuri maamuzi gani yanatarajiwa na wana CCM, ya wananchi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=33203
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Nilimsikia Nape akiwaahidi wandishi kuwaita leo saa tano. Tupeni kilichojiri wadau. Tunataka kujua kama yai limepasuliwa na kijiko au mwiko
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Mzindakaya: Bunge losing direction Sunday, 31 July 2011 The Citizen Reporter MPs should strive to strengthen national unity irrespectuve of political leanings, longtime CCM member Chrisant...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Nilishindwa kuamini jinsi msanii bushoke alipozomewa na kuonyeshwa ishara za kuwa atoke jukwaani baada ya kutoa pongezi kwa Kikwete. Jamaa alipaniki mpaka akasahau hata kuchukua tuzo...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Mdahalo ndo unaanza wana JF katika ukumbi wa St Gasper, Wazungumzaji wakuu ni Tundu Lisu na Naibu spika Job Ndugai. Karibuni Tufuatilie
8 Reactions
332 Replies
33K Views
Dr wilbroad peter slaa amesema hayuko tayari kuwa mgombea wa CHADEMA katika jimbo la Igunga. Chanzo: Gazeti la Mtanzania la leo
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Friday, 29 July 2011 NA KULWA MAGWA, DODOMA KWA mara ya pili katika kipindi cha siku mbili, wabunge wa CHADEMA wameendelea kulikosea heshima Bunge, ambapo watatu walitimuliwa ndani ya ukumbi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nakumbuka! Nyerere alipofariki,.. Wa2 wengi walibubujikw na machoz! Na huzuni ulitawala kila pande! Hi inatokana na matendo yake kwenye jamii. Sasa sijui kwa marais we2 hawa,.. Je? Wataliliwaje...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Rites yatengewa Sh. 31 bilioni Na Alfred Lucas - Imechapwa 27 July 2011 SERIKALI italipa wawekezaji wa Rites ya India mabilioni ya shilingi kwa kuvunja mkataba waliosaini Oktoba...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Mheshimiwa Kamanda Fred Mpendazoe, leo kuanzia saa 10 jioni atanguruma Shy town. Atazungumzia juu ya mustakabali wa taifa na mambo mengine mengi!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nime sikia juujuu kuwa kuna barua imeokotwa huko Bungeni leo hii,, Sasa kwa yeyote mwenye info za kutosha anaweza kutujuza nini kilicho andikwa kwenye Barua hiyo na nani muhusika wa barua hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna uwezekano mkubwa muda si mrefu ujao tutatangaziwa rasmi upatikanaji wa mafuta ya kiasi cha kutosha tu kuweza kufanya biashara ya kimataifa. Labda kuanzia kwenye Ziwa Tanganyika na hadi maeneo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Walianza kwa kunakili sera la ELIMU (kuifanya Dodoma kuwa Education Capital)
0 Reactions
12 Replies
1K Views
..jamani hivi huu si mzigo mzito sana kuwatwisha wananchi wa Zanzibar? ..halafu baadhi ya wanaonufaika na ubadhirifu huu tayari wanatambulika kama viongozi, au wastaafu, katika serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa na masikitiko makubwa kutokana na nguvu ndogo ambayo chama cha maendeleo na demokrasia chadema wamewekeza katika mkoa Mtwara. Napenda ifahamike kuwa Mtwara ni miongoni mwa mikoa ambayo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…