TETESI: Pendekezo la Maalim Seif kuhudhuria vikao vya NEC na CC laleta mgawanyiko CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TETESI: Pendekezo la Maalim Seif kuhudhuria vikao vya NEC na CC laleta mgawanyiko CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 30, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Jamani eeh- hii nimepata kali sana. Kuna habari zinasema kwamba lipo pendekezo katika kamati kuu za CCM, yaani NEC na CC yake kwamba Maalim Seif awe anahudhuria baadhi ya vikao hivyo kama observer (mtamazaji).

  Wazo hili limepingwa na wengi ndani ya vikao hivyo. Na katika CUf kwenyewe kuna mgawanyiko katiko hilo, Profesa akilipinga sana ingawa kina hamad Rashid na Jussa wanaliafiki.

  Msianze kuniuliza source, source ni 'mndani' wangu aliye ndani ya both NEC na CC ambaye kanidolezea.
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hakuna tatizo, cuf si ni ccb b
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Na CCM watakuwa wanatuma observer wao kwenye vikao vya CUF?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama wamefikia uko CUF sio wenzetu!
   
 5. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Kwani maalimu wangu hukumsikia yule mbunge wa CUF aliyesema bungeni juzi jioni kuwa wao CUF si wapinzani kama CDM?

  Hao si wenzetu na kamwe hawawezi kuwa wenzetu kwa kuwa wapiganaji wa kweli hatuna unafiki!
   
 6. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Sasa hawa ccm wote (i.e ccm-A na ccm-B) wanabishana nini?
   
 7. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hata ccm ukiona hivyo nayo kwishney
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  I don't see any problem.
   
 9. T

  Technology JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Si muda mrefu watampa hiyo invitation Dr.Slaa!
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  aliye toa hilo wazo anaijua vizuri CUF (kuwa ipo chini ya nani) ili kuwaua kabisaaa wamwalike Maalimu apate Posho za vikao na hivi tunaambiwa aliwa na njaa utaona hata bara ambako kunaonekana kuna unafuu kuwa ni wapinzani nako kutakufa Ktk hili Prof ahame Chama tu ila kama kweli yeye ni mpinzani
   
 11. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mwee, yaani mmeacha kazi mnajadili Maalim Seif ?Yule mtu mwengine, achanane nae kabisa ni mkombozi wetu huku Zanzibar.Safari hii hatukupigwa hata makofi na jwtz, wakati miaka yote tunakula kichapo halafu mnakaa mkitucheka....Aaagh wahenga wamesema pilipili usoila, yakuwashia nini!
   
 12. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Waliotoa wazo hili wako sahihi kabisa.Kwani CUF si CCM tu kuna tofauti gani.CUF wameshawekwa kwapani na CCM,kwishney.
   
 13. z

  zamwamwa Member

  #13
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UZUSHI MWINGINE bwana,,,,,VIKAO HIVYO MBONA HAVIJAKAA? UNATUHARIBIA HESHIMA YAJAMVI
   
 14. j

  janja pwani Senior Member

  #14
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sharif ndie mwanasiasa bora kwa sasa kwani hivi sasa hapa Tanzania ni makamu wa kwanza wa urais na 2015 ni Rais wa Zanzibar, hivyo ni vijiba moyo.
   
 15. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hiyo naona kama haiwezekani na kama ni kweli basi siri nyingi za chama zitavuja hivyo kuwaongezea nguvu CUF.
   
 16. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,461
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  Maalim Seif anaielewa vyema CCM alikuwa CCM wakamtosa,wakamkashifu,wakamnyanyasa,wakamtesa, wakamshtaki, wakamweka kizuizini miaka nenda miaka rudi.Yamemkuta mengi, mwaliko hauna maana sana kwake labda CCM wanataka kujikosha kwa yale waliomtendea.
   
 17. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni vema CUF waingie wakaendeleze ndoa yao vema
   
 18. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Sasa cha ajabu nini ? Ni kawaida ndoa kuishia chumbani, ebo !
   
 19. mpiganiahaki

  mpiganiahaki Senior Member

  #19
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  CUF wameshaolewa na chama cha magamba(ccm) jamani!
   
 20. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tatizo la maalim ni njaa na uchu wa madaraka!!! really the man is not after saving the peple he is after popularity and his stomach...CUF kwishney

  Jaman where is julius mtatiro.
   
Loading...