huyo kwenye rd ndio bogus kuliko wote,..juzi tu kasema bungeni uwa bora wafe watu 50 kuliko milioni 40..mwehu tu huyu,..halafu hili neno mheshimiwa inabidi litolewe kwenye kanuni maana wengine hawastahili kuitwa waheshimiwa,.na mmoja wao ni huyu fisichawene.Kipindi Makinda kawaachia kigoda vinyozi mbadala imedhihirika kweli hana wasaidizi isipokuwa Mh. Simbachawene. Wadau mwalionaje hili.