Kauli ya CCM wananchi wataamua... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya CCM wananchi wataamua...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir R, Jul 31, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi tumewasikia wabunge toka CCM na viongozi wa serikali kuwa wananchi wataamua kuhusu tabia ya wabunge toka CDM. Sielewi vizuri maamuzi gani yanatarajiwa na wana CCM, ya wananchi kuwakataa wabunge wa CDM au kuwakataa wao toka CCM ? Ni kauli tata na inarudiwarudiwa mara kwa mara.

  Itakuwaje wananchi wakiamua kinyume na CCM ? Labda huwawanasema bila kuatafakari maana halisi ya kauli hizo.

  Ninasubiri maamuzi tarajiwa.
   
 2. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Na tutaamua kweli, si wameshaona mwaka jana tumetikisa kidogo tu mpaka leo hawaelewani.
   
 3. M

  MDANGANYWA HUYU Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kauli hizi zinatolewa na wabunge wa viti maalum ambao ndo wamejaza bunge. Wanachofanya ni kushangilia pumba hata kama mbunge anashukuru kwa kugongwa vizuri na mumewe, wao wanashangilia na kupiga makofi.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ndo wale waliokuwa wanapiga vigelegele wakati mwenzao JOb Ndugai akitelemsha pumba zake kwenye ule mdahalo wa Star TV. CCM wamelewa madaraka, wabunge wake wote hawana utashi na nchi hii. moto tutawawashia mwaka 2015
   
 5. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  magamba weshachanganyikiwa. Wananchi tushaamua mwaka jana wakatufitini. Na tutazidi kuamua. Ulianguka ukuta wa Berlin sembuse magamba!
   
 6. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waache na tabia zao za wizi wa kura sasa tunamikakati na tutanikiwa kulinda kura zetu kwa ngazi zote na wao wataona effect ya maamuzi yetu
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanachokinena majibu watakuwa nayo novemba 2015
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  wananchi wa mwaka 47 hawapo siku hizi.
   
 9. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kila jambo lina wakati wake
  Wananchi tuliamua na tutaendelea kuamua ipasavyo
  Hatuhitaji kuamuliwa tena hata kwa kugawiwa chumvi
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nafikiri majibu yataanza kupatikana 2014 serikali za mitaa.
   
 11. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kwani kina Lusinde na Dr Kingwangwala nao ni viti special ?
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu umenena, yaani hawa wabunge wa viti maalum wa ccm wakipewa nafasi ya kutoa hoja, wao wanabaki kushukuru tu, atamshukuru mumewe kwa muda mrefu kwa magoli ya usiku, mpaka muda unaisha mwishowe utasikia naungo hoja mkono.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  wanamaanisha akina kingunge kumbe, hata kupiga kura hawaendi, vijana ndiyo waamuzi wa nani awe nani
   
 14. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Wananchi tutaamua kweli, tumeshachoka kuamliwa
   
 15. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ukisikia wanasema hivyo jua maji yamezidi unga subiri Igunga ndio utaona wananchi watakavyoamua
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  hayo ni maneno aliyoyasema EL!kuwaambia wana magamba wenzake
   
 17. MWAGONA

  MWAGONA Member

  #17
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgaa gaa upwa haaachi......................
  Hii ndiyo imewafika wana magamba maamuzi ya wana nchi waoo wenyewe walishaanza kuyaona 2010 japo kuwa walichakachuaaa.bila kuona maamuzi ya wananchi hata unafiki wakujivua magamba usingekujaa.
   
 18. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  We waache tu watatupigia magoti lakini hawatapata kitu na wakiendelea kutuudhi tutawapopoa na mawe pia. Wamuulize mwenzao wa Ludewa!
   
 19. b

  bundas Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well, amazing wanapata shinikizo wakisikia wapinzani wakisema tutauomba uma uamue, most like the same thing, lakini sidhani kama huwa wanaifikiria hiyo kauli wanapoitamka, inawezekana kabisa hawaielewi, the don't usually read between lines!
   
 20. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CCM inaelekea hawajui maamuzi ya wananchi ni kinyume na chama chao. Huku mtaani watu wanatamani ifike wakati wa uchaguzi. Moshi kuna kipindi madiwani wa CCM walikuwa na kiburi kwani walikuwa wengi kuliko wa CDM lakini uchaguzi wa 2010 watu wakaipiga chini CCM wakupata madiwani wa tatu kati ya 21. CCM sasa Moshi mjini ni kama haipo.
   
Loading...