Nimemwona kwa macho yangu bila ya chenga IGP Said Mwema akiwa ktk Jiji la Arusha akielekea Sakina majira ya 6:20pm ndani ya Landcruiser V8 nyeupe mbele ikiwepo landcruiser moja boxboard nyeupe ya...
Ndg wana JF katibu wa BAVICHA mkoa wa Tanga katunga kitabu nimefanikiwa kukipata leo asubuhi kwa wamachinga kariakoo, kimsingi ukikisoma unaweza kuanzisha maandamano hapohapo ulipo...ila CCM...
1. Uwe ni mtu mnafiki ambaye ukiomba pesa serikalini,mfano milioni 100 ,kwa ajili ya kuendesha taasisi au position uliyonayo, uko radhi kupewa 5% of that na kuridhika huku ukishukuru sana bila...
Kila kona baba (serikali) anatuhumiwa kwa rushwa iwe ni kwa ukweli au kwa kusingiziwa, utasikia oh mtoto wa rais kahujumu, chenge ana vijisenti, meremeta, Jairo,UDA, AGRECO, EPA, Deep green...
Ni wakati sasa kujiuliza kampuni zzetu za atcl,uda na trk zimechangia ngapi jamani kwenye kale
kamfuko chetu cha jairo foundation??bado naamini kale kamchezo cha jairo kako kila
wizara na hata...
jamani ulishaona mtu anayekaribia kufa anavyotapatapa! je unajua dalili za taifa linalokufa? kama Tanzania
1.huagiza vyakula vibovu vyenye sumu ili watu wake wafe
2. huagiza wataalamu toka nje...
Jamani hii nchi ielewe kwamba rushwa si lazima ufanye ufisadi kama Jairo.
Ngeleja akishirikiana na TBC wanatangaza mambo yao ambayo hayana tija kwa sasa huku akijua kwamba hotuba yake ya bajeti...
Mahojiano na Rais Kikwete yaliyofanywa na Mwandishi wa BBC Bw. Omar Mutasa huko Afrika Kusini ambako Rais Kikwete alikuwa anaendelea na ziara yake ya Kiserikali.
BBC: Suala la Umeme Mheshimiwa...
Naanzisha mada for the first time,bunge lina nguvu sana ya kutupelrka watanzanai tunapohitaji kwenda,naibu spika wa bunge MH Ndugai ameonesha kutokujua nafasi ya bunge katika kuleta maendeleo...
spika anaaza kwa kuelezea utaratibu wa kumwuliza waziri mkuu maswali..
Pinda ananza wizara ya uchukuzi..anaelezea kidogo kuhusu sekta ya uchukuzi..kama member yeyote yupo live please tusaidiane...
Na Gerald Kitabu
31st July 2011
Ni ule mwekezaji aliyepewa ardhi kwa miaka 99
Kodi ya ardhi sh. 200, Halmashauri kupata sh.500
Wananchi, watendaji wa vijiji na Madiwani wa kata za...
Fuel `crisis` after price change
By The guardian team
4th August 2011
Some Dar, Mbeya stations closed,as owners claim item out of stock
Fuel became a scarce commodity overnight, with...
Komba amesema bungeni leo ya kwamba barabara za rami tanzania ukizipeleka uganda au kenya nchi hizo zitakuwa na rami hadi vyooni! kwamba tusilalame!hoja za kweli hizi?mwenye data atusaidie!
Hivi logic ya kuajiri mpaka wahasibu wa India, Kenya inaingiaje akilini?? Kama serikali ingekua makini eneo kama la uhasibu ambapo information zote za kampuni zitakuwa recorded ingeamua piga ua...
Dk Slaa amtaka Jk ataje waliopewa Sh1.7 trilioni
By Beatus Kagashe, Iringa
MGOMBEA wa urais wa Muungano kwa tiketi ya Chadema , Dk Willibrod Slaa mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete kuwaeleza...
FROM: FATHER
TO: ALL DE PENDANTS AND RELATIVES
CC: MOTHER
DATE: TODAY
ECONOMIC SITUATION AND GROUND RULES
Due to the current economic situation, all domestic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.