Baba yuko uchi, ni nani atakayewazuia watoto wasitembee uchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba yuko uchi, ni nani atakayewazuia watoto wasitembee uchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oba, Aug 4, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kila kona baba (serikali) anatuhumiwa kwa rushwa iwe ni kwa ukweli au kwa kusingiziwa, utasikia oh mtoto wa rais kahujumu, chenge ana vijisenti, meremeta, Jairo,UDA, AGRECO, EPA, Deep green, ATCL, na akina Jeneral shimbo na trilion zao, kama serikali iko uchi kiwango hiki ni nani atakayezuia polisi, wauguzi, katibu kata, mwenyekiti wa nyumba kumi, baba mwenye nyumba n.k wasitembee uchi? (wasifanye ufisadi kwenye maeneo yao?)

  Inauma sana!
   
Loading...