Dalili za taifa linalo kufa kama tanzania

mkibunga

Senior Member
Nov 17, 2010
196
25
jamani ulishaona mtu anayekaribia kufa anavyotapatapa! je unajua dalili za taifa linalokufa? kama Tanzania
1.huagiza vyakula vibovu vyenye sumu ili watu wake wafe
2. huagiza wataalamu toka nje huku wa ndani hawathaminiwi
3.huwa na mawaziri wazee waliochoka kazi yao ni kusinzia kazini km bungeni
4. huwa na mwanasheria mbumbumbu anayetamani vyama vya upinzani vife
5. huwa na rais asiye tulia nchini
6.huwa na wasomi wa phD za kupewa
7...................
8.............
9............
10................
naomba kuwasilisha
 
7.wabunge wa chama tawala kazi yao ni kuzomeazomea wa upinzani bila ujenga hoja
8.wabunge wa chama tawala huelezea matatizo lukuki yasiyopatiwa ufumbuzi miaka nenda rudi lakini mwisho wa siku wanaunga mkono hoja mia
kwa mia
9.jeshi linahusishwa na ufisadi
 
Back
Top Bottom