Sakata la madiwani wa Arusha kujulikana Jumamosi

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Kamati kuu ya Chadema inakutanana jumamosi mjini dodoma kutoa maamuzi ya sakata la Madiwani.
Amesema Dr Slaa wakati akiongea na TBC leo usiku
 
Kamati kuu ya Chadema inakutanana jumamosi mjini dodoma kutoa maamuzi ya sakata la Madiwani.
Amesema Dr Slaa wakati akiongea na TBC leo usiku

Ni kweli kabisa mkuu, hata jana tulipokutana kwenye mkutano mkuu wa wilaya tulipewa taarifa na mh. Mwigamba kuwa kamati kuu itatoa maamuzi siku hiyo.
Kuna taarifa nilizozipata kutoka kwa baadhi ya madiwani kuwa endapo watafukuzwa na chama, wataweka court injection, kitendo ambacho kitawafanya waendelee na udiwani huku kesi ikiendelea kunguruma mpaka 2015
 
Lazima tufuate utaratibu na katiba ya chama! Yeyote anayekwenda kinyume sio muumini wa imani yetu. Kwahiyo afukuzwe maramoja. Haya ndio maamuzi ninayoyategemea!
 
Back
Top Bottom