Ukombozi wa pili wa taifa letu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukombozi wa pili wa taifa letu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Clara, Aug 2, 2011.

 1. B

  Baba Clara Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg wana JF katibu wa BAVICHA mkoa wa Tanga katunga kitabu nimefanikiwa kukipata leo asubuhi kwa wamachinga kariakoo, kimsingi ukikisoma unaweza kuanzisha maandamano hapohapo ulipo...ila CCM wakijua ni hatari kwani kajiachia sana kwa kuichokonoa serikali tena kwa current issues huenda kitafungiwa....nime scann covers la kitabu na nime attach kwenye taarifa hii....mwandishi anaitwa Deogratius Kisandu inaonekana ni mwanafunzi wa chuo fulani cha Tumaini.
   

  Attached Files:

 2. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nitakipataje au tutakipataje?? Bei gani??
   
 3. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera kamanda 4 manipulate your knowledge 2 the secondy revolution tz
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nenda kapimwe akili tahila sio lazima aokote makopo
   
 5. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kamanda pamoja nitapataje niweze nunua na kugawia vijana.
   
 6. mpiganiahaki

  mpiganiahaki Senior Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kariakoo sehem gani umekinunua? Kwan hata mimi Niko Kariakoo pia
   
 7. B

  Baba Clara Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kupata copy fika makao makuu ya chama dar kuanzia jumatatu au piga o715923945 au o655o25609
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,917
  Likes Received: 12,086
  Trophy Points: 280
  Hujaeleweka yupi akapimwe aliyeleta taarifa au aliyeandika kitabu na kwa sababu gani.
   
 9. B

  Baba Clara Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ili kupata kitabu cha ukombozi wa pili wa taifa letu fika makao makuu ya chama kuanzia jumatatu Dar au
  0715923945 / 0655025609 utapata kopi yako kwa tsh2000 tu.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu Fide sijakusoma kabisa hapo.
   
 11. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hii kasi ya kuandika iendelee hivi hivi ili watu waweze kusoma historia ya nchi yetu.
   
Loading...