Bilioni tisini na tano zimetoka wapi?

MWAKIGOBE

Member
Nov 1, 2010
65
2
Bajeti ya uchukuzi na mawasiliano wameongeza bilioni tisini na tano, mh? Zilikuwa wapi? Zimetoka wapi kwa usiku mmoja?

Swali lako ni la msingi sana! jee hazina huwa inabaki na fedha za dharula kwa ajilio ya emergency za hivi? Sijui tutegemee pia fedha kama hizi zitatumika kwa suala la umeme?

kwa hali ilivyo hizo bilion 95 bado ni chache... si unajua kama ATCL ukidesign logo tu unakula 200 milioni....

Wana JF,

Hiii ni mara nyingine waziri mkuu nae anatudanganya hii haitaji kuthibitisha bali ni kwa usikivu na uelewa wako B.95 kwa kuboresha hii sector ya uchukuzi kweli its doesn't make sense at all ndugu zangu juzi leo umekuja na mpya khaaa wapi na wapi hiyo. Umekopa pesa then what, Siku zote kama mlijua kwanini hamkufanya hivyo haya mashirika ya umma si yangekuwepo mpaka sasa.

My Take:

Badget nyingi bungeni ni za mashaka kabisa wanatudanganya hawa mawaziri na serikali kweli hatuna watu vichwa wakakaaa na kuimbia wizara fulani hapo ni hivi na vile wasomi wako wapi au Gutter Politics inatawala nyanja zote za serikali .

I dont've Confidence with my Prime Minister From now onwards. Hivi Serikali mumetuonaje sisi ni madodoki tuu au kweli kweli waziri kwenye Bunge through live TV uanaongea pumba na wabunge wengine wanashadadia wanaona ni sawa 2015 hamtorudi mjengoni

• Thanks
Reactions: BAK
Random figure imewekwa tuu ili bajeti ipitishwa kama wabunge wana busara walione hilo lazima waelezwe zitatoka wapi pesa hizo na ambazo ni ndogo kwanza ukilinganisha na matakwa ya waizara

Ikiwa walikwisha tengeneza bajeti kwa fedha kidogo walizogawiwa,inakuwaje tena zinaongezwa juu kwa juu?Na je hizo fedha zitapelekwa kwenye eneo lipi hasa?Si ilipaswa kurudishwa na kutengenezwa upya kwa kuhusisha hizi 95bilion!

Swali lako ni la msingi sana! jee hazina huwa inabaki na fedha za dharula kwa ajilio ya emergency za hivi? Sijui tutegemee pia fedha kama hizi zitatumika kwa suala la umeme?

Hapo ndiyo ujue, bongo tambarare kama wanavyoiita wao na kama wamechomoa kwenye bajeti nyingine mbona hawasemi??????? Yaani unajua jinsi Pinda alivyokuwa anasifiwa kwa umakini ameonekana ni hopless kabisa!!!!!1

JINSI%2BUDA%2BILIVYOUZWA.jpg
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Deo Filikunjombe akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi Idi Simba alivyoingiziwa Sh 250milioni katika akaunti yake ikiwa malipo ya kuuza hisa za Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), mjini Dodoma jana.

Zimetoka kwa Shimbo na Simba

serikali ina hela sana jamani ila haipendi kuwapa maendeleo wananchi wake,kwani hela za dharura za umeme zitatoka wapi?hela ipo kabisa.

Bajeti ya uchukuzi na mawasiliano wameongeza bilioni tisini na tano, mh? Zilikuwa wapi? Zimetoka wapi kwa usiku mmoja?
Mimi sishangai kwa hilo, kama mtu mmoja ana trillion 3 itashindikanaje kwa selikari kupata hizo hela. Ndugu, hela za nchi hii zimekaliwa na watu, ziko kwenye account binafsi za watu. Dawa ya nchi hii ni kuchukuwa uamuzi wa Misri na Tunisia.

Bajeti ya uchukuzi na mawasiliano wameongeza bilioni tisini na tano, mh? Zilikuwa wapi? Zimetoka wapi kwa usiku mmoja?

Tundu lissu ameuliza hilo sasa hivi wanalijadili... jibu ni kuwa fedha hizo zimetoka ktk fungu la miradi maalumu ya barabara kutoka ktk bajeti ya wizara ya ujenzi/miundombinu! kuna kanuni zinaruhusu jambo hilo kutendeka

mnyika katoa hoja kuwa uhamishaji wa fedha za bajeti zilizoidhinishwa na bunge (for this case toka wizara ya miundombinu to uchukuzi) inabidi uletewe hoja mpya ijadiliwe bungeni lakini ktk uhamishaji huu uliofanyika hakuna hoja mpya juu ya uhamishaji huo iliyowasilishwa bungeni kuruhusu hilo kufanyika... BUT werema amejibu kua wabunge waliomba jana fedha ziongezwe so huo ni mjadala tosha kuruhusu uhamishaji huo kufanyika

Hapo ndiyo ujue, bongo tambarare kama wanavyoiita wao na kama wamechomoa kwenye bajeti nyingine mbona hawasemi??????? Yaani unajua jinsi Pinda alivyokuwa anasifiwa kwa umakini ameonekana ni hopless kabisa!!!!!1

wamesema jioni baada ya kubanwa na tundu lissu kwamba wamechukua kutoka wizara ya miumdo mbinu.so wamesubili cjeti ya magufuli ipite then ndo wamepunguza mihela.

hapa hakuna kudanganyana ni kwamba tunaibiwa bila ya kujua kua wanaotuibia ni wale wale tunao waamini...! sasa jiullize mbona wamama wazazi wanatakiwa waende na mkaa huko kusini kwasababu hakuna vifaa vya kufanyia huduma ya sterilisation kama kweli kulikua na hizo buffer nyingi kiasi hicho si wangepeleka wakawasaidia hao watu walio na matatizo ya kufa huko kusini....? unajua jamani tuwe na hofu ya Mungu kidogo hata kama kuna maubadhilifu unafanya kama kiongozi basi panapo gusa maisha ya watu tuwe makini aaaah inauma sana ndugu zangu....!

Back
Top Bottom