Dar es salaam kwa waka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar es salaam kwa waka moto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibajaj, Aug 4, 2011.

 1. k

  kibajaj Senior Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF nimezunguka toka asubuhi natafuta mafuta kila kituo nilichofika naambiwa mafuta hakuna ,pump mbovu na kwingine wahudumu hakuna adi gari imenizimikia njiana. nimetembea kutafuta chakula pale ninapokula siku zote bei zimeongezeka kwa miatano zaidi magari barabarani yamepungua na maeneo mengine tayari naul za daladala zishafanywa niatano manake gari nyingi zimepaki maisha gani haya jamani?
   
Loading...