ATCL; TRL, UDA wamechangia ngapi bajeti ya uchukuzi kwenye mfuko wa Jairo (Jairo Foundation)?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Ni wakati sasa kujiuliza kampuni zzetu za atcl,uda na trk zimechangia ngapi jamani kwenye kale
kamfuko chetu cha jairo foundation??bado naamini kale kamchezo cha jairo kako kila
wizara na hata majuzi walipokomaa kuna dalili za baadhi ya watu kugaiwa fungu kutoka
jairo foundation...binafsi najiuliza haya mashirika yetu yamechangia ngapi

mh zittio kabwe msisubiri barua this time jamani embu komaeni
 
unataka tulete za ngopno ndio uchangie??huku umekosea njia nenda kulekwenu bana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom