Tunajenga mazingira ya kuibiwa wenyewe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunajenga mazingira ya kuibiwa wenyewe...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SilvaG, Aug 4, 2011.

 1. S

  SilvaG Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi logic ya kuajiri mpaka wahasibu wa India, Kenya inaingiaje akilini?? Kama serikali ingekua makini eneo kama la uhasibu ambapo information zote za kampuni zitakuwa recorded ingeamua piga ua lazima awe mtanzania vinginevyo tunacheza tu.
  Fikiri na mimi, mwekezaji =foreigner, manager =foreigner, mhasibu= foreigner, bankers=foreigner, auditors=foreigner
  Nani hata 1 ana uchungu na nchi hata kama kampuni zote zimesajiliwa TZ?
  Hivi katika mazingira kama haya unategemea nini kitokee? Hata kama TRA watafanya audit yao kwa kawaida baada ya miaka 3 unategemea huo mlima wa data abaini wizi kweli kama si kupitisha kila kitu???
   
Loading...