Pinda LIVE BUNGENI maswali ya papo kwa hapo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda LIVE BUNGENI maswali ya papo kwa hapo..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Emils, Aug 4, 2011.

 1. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  spika anaaza kwa kuelezea utaratibu wa kumwuliza waziri mkuu maswali..
  Pinda ananza wizara ya uchukuzi..anaelezea kidogo kuhusu sekta ya uchukuzi..kama member yeyote yupo live please tusaidiane kuwasilisha
   
 2. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Waziri mkuu amesimama na kuanza kujibu maswali bungeni
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Pinda amesema budget ya Miundombinu imeongezwa kwa shs bilioni 95, katika harakati ya kuinusuru isikataliwe.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wana JF mtanisamehe, mwenzenu kila figure inayotajwa nailinganisha na zile trilion3, Du! Haizifikii hata robo!!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wizara ya Uchukuwa inatakiwa ipate bajeti si chini ya Trillion moja. Hii wizara na ile ya Ujenzi ni kiungo muhimu kwa maendeleo ya uchumi wowote. Mh Omary Nundu ana kibarua cha kufufua Reli, ATC, sasa kwa hivi vijehela vya kuokoteza atafanya nini?

  Shimbo ana trillion 3, wakichukuwa hapo trillion moja inatosha kabisa kutatua matatizo ya RELI.
   
 6. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hela nyingi KWELI KWELIi.Je thamani ya utendaji wake (VALUE FOR MANEY) italingana na kiasi cha fedha kinachotajwa au ndo kuchakachua kwa kwenda mbele?
   
 7. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Endlea kutupatia taarifa
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Tuwekeeni maswali na majibu ya PM
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135


  mwangalie vizuri akilia tuu utujuze!
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kakua siku hizi halii ovyo!
   
 11. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu vipi?Wenyewe wamechukua umeme wao au?
  Tunaendelea kusubiria kutoka bungeni maana tuna usongo sana na hiyo bajeti ya Nundu
   
 12. LUSAJO L.M.

  LUSAJO L.M. JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Daah akili zetu sijui zikoje.
   
 13. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inaonekana serikali kama kawa wamekuja na kampango, waziri mkuu amesema wataongoza bil 95 kwenye bajeti uchukuzi..halafu inaonekana wabunge wengi wa ccm eti wanaunga hoja mkono bajeti..
  Kweli wabunge wetu hawana msimamo
   
 14. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wabunge wa ccm ni mabingwa wa kuuma na kupuliza.
   
 15. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mikwara yote wamepewe bil 65 wamelainika........ yetu macho
   
 16. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli Lembeli ameamua kuichana ccm..amesema maswala kama bandari kavu a isaka imekuwa kichaka halafu wanajenga kontena gate shinyanga badala ya isaka..anamaana kwamba, treni itakuwa inapakia mizigo shinyanga then inarudi tena nyuma kuelekea burundi na rwanda...pia kasema katibu wa miundo mbinu jana alikuwa anacheka wabunge wakichangia bajeti kasema hana uzalendo..
   
 17. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,285
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  pinda anafwanywa kama katuni ndan ya chama cha magamba , et kwa sababu ni mtoto wa mkulima akisema kitu chochote watz watalegea na kumwonea huruma halafu mambo yataendelea. what a rubish?  "THE ONLY ABSOLUTE TRUTH IS THAT THERE ARE NO ABSOLUTE TRUTHS"
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Bila shaka ulikusudia wizara ya uchukuzi, ndo budget yake iko kilingeni.

  Takwimu sahihi ni zipi? ni bil 65 au bil 95? Je hiyo pesa imetoka wapi overnight?? au wamekopa kwa Lt.Gen.Shimbo!!??
   
 19. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  <br />
  ilitakiwa kuiunganisha na wizara ya magufuri.
   
 20. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kwanini walikataa kuziongeza mwanzo hizo bil 95??au zilitengwa kwa ajili ya kampeni za igunga??iam disgusted..hazitoshi na hawataongeza zaidi..why??ukifufua reli mizigo haitasafirishwa tena na malori ya ridhiwan/kikwete,.ukifufua ATC,ndege ya mramba etal(precision air)haitapata wateja,..ukifufua meli,..boti za bakhresa/ali hassan mwinyi zitakosa wateja..
  naomba kuwasilisha
   
Loading...