mstahiki meya wa jiji la dsm dr masabuli aibua kashfa nzito kuhusu masuala ya mikataba ya kifisadi,,anasema anataka kuona nani wa kuwajibishwa kati yake na wengine,kazungumzia mikataba ya machinga...
Kabla ya kujua mengi zaidi kuhusu secret societies na conspiracy theories mbali mbali nilipata ugumu kujua kwanini baadhi ya viongozi wanafanya mambo kinyume kabisa na waliowachagua na wanashindwa...
Mwanzoni nilivyokuwa na sikia promotion nilifiki itakuwa na mvuto lkn sasa nimeona tofauti haina sauti rangi nyingi na isitoshe picha zake nyembamba na maanisha clouds tv km ndo wanataka...
VYAMA vya siasa nchini vitaendelea kufanya maandamano ya amani pale inapobidi kwa kuwa hatua hiyo inaruhusiwa kisheria na ni haki ya msingi ya kila mtu na chama chake katika kujitafutia haki...
Makamba aliwahi kusema CCM hatuwezi kamwe na wala hatuna mpango wa kumtosa katika kinyanganyiro cha mwakani Rais Kikwete kwa kuwa ni maarufu kuliko hata chama chetu, huwezi kumtosa mtu kama huyu...
Mh.omar nundu ameonesha umakini na kutumia taaluma yake kwa kumuomba waziri mkuu nyongeza ya pesa ili kuongeza bajeti ya wizara yake.tatizo ni kuwa wizara aliyopewa ni bomu na litamlipukia...
Tangu jana wenyeviti wa kuendesha Bunge na wewe mwenyeo leo umeonyesha huna mchezo tena wa kuendekeza miongozo,nimelishuhudia ukimzima Ole Sendeka alipotaka MB.Silinde afute kauli yake kwamba kuna...
Tangu nianze kuangalia bunge la TZ kwa awamu hii na kuwaona wabunge mbalimbali wakichangia hoja kinachonivutia ni staili ya uchangiaji wa mbunge wa Vunjo mh. Mrema, yy hawezi kuchangia hoja pasipo...
STATEMENT OF PEOPLE LIVING WITH HIV IN TANZANIA TO THE UNAIDS COUNTRY COORDINATOR AGAINST THE PARLIAMENTARIAN DISCRIMINATING AND STIGMATIZING STATEMENT TO THE PLHIV DURING THE ONGOING BUDGETARY...
ni kipindi sasa tangu mheshimiwa Kafulila awatuhumu baadhi ya wabunge kuomba rushwa kwenye kamati ya mheshimiwa Mrema ya serikali za mitaa lakini sijasikia chochote kinachoendelea.
Hivi wadau...
Gazeti la Mwananchi la leo limeandika kuwa Mhe Freeman Mbowe atasimamishwa katika Baraza la Maadili kesho 16 June 2011 ili kujibu tuhuma za kutowasilisha fomu zinazoonesha mali na madeni yake...
Jamani wana jf tembea uone, uangalie jinsi Tanzania ilivyo, nilibahatika kwenda kondoa miezi iliyopita hali ya uko hususan miundombinu ya barabara inatisha, mimi nilipanda basi la kondoa via...
Tuko katika majaribio ya kurudi kwa mbwembwe zaidi na kijarida kipya kuelekea 2015. Kijarida cha "Cheche za Fikra" kilikuwa ni nuru ya kutupeleka 2010 na kilitoa mchango wake; kwa mashauri yenu...
Minael Msuya na Elizabeth Edward
MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema Bunge la Jamhuri ya Muungano hivi sasa linapoteza sifa kwa wananchi...
KILA anayesema hivi sasa anamtolea mfano Mwalimu Nyerere, sasa hayupo nani anayeendeleza na kukienzi chama kama ilivyokuwa wakati wake? Ili kuondokana na tabaka hili sisi wazee tunajipanga...
Katika kuonyesha wingi wa wabunge wa ccm unaweza wachinja watanzania bila kujali idadi yao
ilikuwa hivi
wanaosema imepita waseme ndiooooo....ndiiiiiiiioooooooooooooooooooooooooooo
wanaosema...
CHUO KIKUU JWTZ KUANZA MWAKANI
Habari Leo: 5 Agosti 2011
MNADHIMU Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulrahaman Shimbo amesema Chuo Kikuu cha Ulinzi wa...
Waandishi Wetu
3 Aug 2011
Toleo na 197
Ni kikao chao cha faragha Lumumba
Zawahusisha Rostam, Chenge
Kikwete awaokoa kiaina, sasa wapumulia mashine
KILE kilichoelezwa kuwa kilikuwa...
TAARIFA KWA UMMA - 4 AGOSTI 2011
Ndugu wanahabari, Jana tarehe 03 Agosti 2011 Baraza la Uongozi la CHADEMA Mkoa wa Arusha liliitisha kikao cha Mkutano Mkuu wa Wilaya kwa ajili ya kujadili hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.