Udhaifu katika uendeshaji wa bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu katika uendeshaji wa bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RAIATZ, Aug 4, 2011.

 1. R

  RAIATZ Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naanzisha mada for the first time,bunge lina nguvu sana ya kutupelrka watanzanai tunapohitaji kwenda,naibu spika wa bunge MH Ndugai ameonesha kutokujua nafasi ya bunge katika kuleta maendeleo tanzania,Mh ndugai anasema waziri mkuu hawezi kudanganya bunge,referee anaendesha mambo kwa hisia,kanuni za bunge sio selective ila yeye anafanya ziwe selective,anaonesha chuki ya wazi kwa CHADEMA,
  CHADEMA wametufungua macho watanzania,wamehoji mengi bungeni,wamehoji suala la rada,wanunge wa CCM wameonesha kufurahia wizi wa chenge,chama hiki kimehoji pesa za DOWANS,RICHMOND,MEREMETA NA EPA.Hebu watanzania tuwape support wazalendo hawa wa nchi hii,CCM WAMECHOKA,sasa wanataka kutuchosha na wazaendo wa nchi hii,SALAMU kwa MH ndugai najua anachokifanya ni kwa maslai ya chama chake laana na imfike kwa jina la mungu.
  MUNGU IBARIKI TANZANIA
  "LET MY BLOOD RAIN ON TE TREE THAT BEARS THE FRUIT OF FREEDOOM"  .
   
Loading...