Ngeleja, elewa kwamba rushwa si lazima utoe hela; mnachokifanya kupitia TBC1 hakifai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja, elewa kwamba rushwa si lazima utoe hela; mnachokifanya kupitia TBC1 hakifai

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rumishaeli, Aug 2, 2011.

1. Rumishaeli

Rumishaeli JF-Expert Member

#1
Aug 2, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 225
Likes Received: 11
Trophy Points: 35
Jamani hii nchi ielewe kwamba rushwa si lazima ufanye ufisadi kama Jairo.

Ngeleja akishirikiana na TBC wanatangaza mambo yao ambayo hayana tija kwa sasa huku akijua kwamba hotuba yake ya bajeti haijapita hii ni janja ya nyani ninachoweza kusema hatudanganyikiiiiiiiiiiiii! Halafu eti sasa hivi wametupa umeme bila kukata, kama tatizo lilikua ni maji mvua imenyesha lini?

Mitambo ya kisanii mliyoleta imefungwa lini maana inatumia gesi na kampuni zinazoleta gesi kutoka mtwara mnasema zina matatizo na pia ni wakwepaji wakubwa wa kodi (refer report from sweden inaitaja wazi kampuni inayoleta gesi toka mtwara kuwa ni wezi, mkwepaji kodi yoyote ni mwizi).

Ninachoweza kusema wana JF wenzangu ni kwamba baada ya kupitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini tunarudi gizani.

Naombeni Mchango wenu JF

2. Ng'wanangwa

Ng'wanangwa JF-Expert Member

#2
Aug 2, 2011
Joined: Aug 28, 2010
Messages: 10,179
Likes Received: 895
Trophy Points: 280
nahisi harufu ya ukweli.

3. mwaJ

mwaJ Tanzanite Member

#3
Aug 2, 2011
Joined: Sep 27, 2007
Messages: 4,076
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
Nakubaliana na wewe. Wakipitisha tu na giza nalo inarudi.

4. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#4
Aug 2, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,437
Likes Received: 19,798
Trophy Points: 280
na itakuwa imekula kwa watanzania tayari..

5. a

amaniwakusoma Member

#5
Aug 2, 2011
Joined: Jul 13, 2011
Messages: 34
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

kwan ngeleja kafanya nn kupitia Tbc1?

6. dkims

dkims Senior Member

#6
Aug 2, 2011
Joined: Mar 25, 2010
Messages: 148
Likes Received: 3
Trophy Points: 35

Lirudi mara ngapi, au nyie mko dodoma nini?huku fulu giza

7. N

Ndakilawe JF-Expert Member

#7
Aug 2, 2011
Joined: Jul 6, 2011
Messages: 4,084
Likes Received: 1,475
Trophy Points: 280
Nimeona huo upupu wake leo...but imekula kwake sio kwetu, this tym lazima ajivue gamba kwenye hiyo wizara..labda apelekwe wizara ya jinsia na maendeleo ya wanawake..inaweza kumfit..so huku alipo..kumempwaya

8. M

Mbopo JF-Expert Member

#8
Aug 4, 2011
Joined: Jan 29, 2008
Messages: 2,532
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
I have no respect for this mediocre performer who is all out to serve his selfish interests at the expense of the economy of this country. I wish my beloved President was bold enough to give him the sack. The sooner he does that the better.

9. Click_and_go

Click_and_go JF-Expert Member

#9
Aug 4, 2011
Joined: Nov 21, 2010
Messages: 451
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
kwakweli lets wait and see!!!

10. Katavi

Katavi Platinum Member

#10
Aug 4, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,474
Likes Received: 4,134
Trophy Points: 280
Kwani kafanya nini na TBC??

11. Emanuel Makofia

Emanuel Makofia JF-Expert Member

#11
Aug 4, 2011
Joined: Jan 5, 2010
Messages: 3,843
Likes Received: 18
Trophy Points: 135

tujuze kwenye red!

12. M

Malabata JF-Expert Member

#12
Aug 4, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 256
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Naunga mkono hoja!

13. l

loiluda Member

#13
Aug 4, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
suala la msingi tu wajue kwamba kujionesha kwenye TBC hakutoshi kumsafisha NGELEJA,amechafuka na alitakiwa nae apishe nafasi kwani haiwezekani katibu mkuu akakusanya kiasi kikubwa hivyo cha fedha bila idhini yake,na kama hakuwa na taarifa basi hii inadhihirisha wazi kuwa hata katibu mkuu wake alimdharau hawezi kazi na hatomfanya kitu,amekuwa mtu wa porojo nyingi wakati sie tunahitaji umeme,vyanzo vya umeme ni vya toka enzi za mwaliimu,hii ni aibu kubwa kwa taifa hili linaloelekea kutimiza miaka hamsini,yeye na naibu wake waachie ngazi na ukweli ni kuwa hawasafishiki tena.

14. Kadada

Kadada Senior Member

#14
Aug 4, 2011
Joined: Jan 11, 2007
Messages: 180
Likes Received: 175
Trophy Points: 60
Nadhani kuna ukweli hapo kwenye kurudi gizani soon bajeti ya nishati na madini ikipitishwa next week.

15. m

mbarbaig Senior Member

#15
Aug 4, 2011
Joined: Feb 10, 2009
Messages: 151
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Mnaulizwa kasema nini nyie mnaendelea tu kuvurumisha maneno yenu..chukueni time

16. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#16
Aug 4, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160
Rumishaeli una akili sana. Mie nlikuwa sijui kama wizara ya nishati na madini ina kitengo cha propaganda..hii nchi bwana yaani utadhani ni drama.! Kuweni siriasi viongozi jamani

17. K

Kaboya Kenneth Senior Member

#17
Aug 4, 2011
Joined: Aug 4, 2009
Messages: 110
Likes Received: 73
Trophy Points: 45
Symbion wameombwa watumie mafuta badala ya gas ili mradi mgao usiwepo wakati huu, bajti ya Ngeja ipite.

18. M

Mapujds JF-Expert Member

#18
Aug 4, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
jamaa anatapatapa tu, ngoja arudi bungeni theni atatueleza amejipanga vipi.

19. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#19
Aug 4, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,244
Likes Received: 3,791
Trophy Points: 280
Naamini kabisa toka moyoni mwangu kuwa Ngeleja na Jairo wangekuwa ni wa China hata matanga tungeshasahau siku nyingi!

20. d

demon New Member

#20
Aug 4, 2011
Joined: Jul 25, 2011
Messages: 1
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

pamoja na hayo wa2pe maelezo yakutosha juu ya trend ya upatikanaji wa umeme coz kama ni mvua mgao ungeendelea coz haijanyesha.

Loading...