Ufisadi huu wa kupata ajira Mamlaka ya Bandari -Tanzania (TANZANIA PORTS AUTH) hadi lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi huu wa kupata ajira Mamlaka ya Bandari -Tanzania (TANZANIA PORTS AUTH) hadi lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mambomoto, Aug 9, 2011.

 1. m

  mambomoto JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Jamani kama kuna mambo yanakera katika Mamlaka hii ni upendeleo katika kupata ajira. Yaani ili upate ajira lazima ujuane na wakubwa. Hakuna haki hata kidogo. Nitawaletea vielelezo vya jinsi watu walivyajiriwa kwa rushwa muone.
   
Loading...