Kikwete Akabidhiwa jukumu la kulinda maisha ya Dr Slaa!

KAMBOTA

Senior Member
Mar 21, 2011
176
103
dr-slaa-31.jpg

Kwa kawaida kwenye maisha hata uendeshaji wa nchi kuna siri kubwa lakini kwa hili la sasa hakuna tena usiri bali ni ukweli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM amejiapiza kuongeza ulinzi kwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa.Ingawaje taarifa ambayo kwa mara ya kwanza inachapwa kwenye tovuti hii lakini ukweli utabaki hivyo kuwa kutokana na umaarufu unaozidi kukua wa Dr Slaa huku pia idadi yake ya maadui ikikua kwa kasi pia wadau mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wamemtaka rais Kikwete kuhakikisha kuwa mwanasiasa huyo hadhuriwi na mtu kwa madai kuwa jambo lolote baya dhidi yake linaweza kuleta hali ya vurugu nchini au taharuki kutoka kwa maelfu ya wafuasi wake.
Hali hii imemshawishi rais Kikwete na serikali yake kuongeza ulinzi kwa kiongozi huyo huku taarifa zaidi zikibainisha kuwa licha ya kuwa mwanasiasa lakini pia Dr Slaa ni raia kama watanzania wengine na anahitaji ulinzi wa maisha yake pia.
Tovuti hii inatoa wito kwa watanzania wenye tabia ya kubisha pasipo hoja au utafiti kufanya upelelezi kwenye mikutano ya Dr Slaa na misafara yake ndipo watabaini ni jinsi gani uongozi wa rais Kikwete unafanya kazi ya kumlinda kikamilifu Dr Slaa ili asidhuriwe na wabaya wake.

from novakambota.com

Anahitaj ikukaa mita mia kutoka walinzi hao walipo, siwaamini walinzi hao.
Kama tarime, geita wanadiriki kuuwa watanzania wenzao unafikiri watashindwaje kwa dr. Slaa.
Jambazi anakuletea mlinzi ili aje kuiba vizuri.

Unataka tuitembelee web yako, sawa, siku nyingine wasiliana na Mods uchangie kidogo kutangaza biashara yako

hiyo ni muhimu sana coz akidhuriwa tanzania amani itavurugika we love him,,,, he gat an extra love to dis country!!!!!!!

Yah ni jambo la kidipromasia zaidi!

Walinzi wa rais Kabila wa Congo ni watz hii ilikuja baada ya serikali ya tz kushindwa jaribio lake la kumuua likiratibiwa na mkapa siku aliyouawa makamu wa rais watz
Baada ya kubumbuluka kabila alitaka kulifikisha suala hilo UN ndipo tz ikaomba radhi kwa kutembelea magoti kabisa, kabila akawaambia kuwa usama wa maisha yake anaukabidhi kwa tz!

Tangu hapo ulinzi wote wa ngazi ya juu pa Ikulu ya kinshasa ni wa kibongo!!

Zingine ni stori za vijiwe tu au vipi mkubwa? Mbona kitu hapo cha kushare. Mega kidogo kwa ajili ya kujua tu
Yah ni jambo la kidipromasia zaidi!

Walinzi wa rais Kabila wa Congo ni watz hii ilikuja baada ya serikali ya tz kushindwa jaribio lake la kumuua likiratibiwa na mkapa siku aliyouawa makamu wa rais watz
Baada ya kubumbuluka kabila alitaka kulifikisha suala hilo UN ndipo tz ikaomba radhi kwa kutembelea magoti kabisa, kabila akawaambia kuwa usama wa maisha yake anaukabidhi kwa tz!

Tangu hapo ulinzi wote wa ngazi ya juu pa Ikulu ya kinshasa ni wa kibongo!!

Yah ni jambo la kidipromasia zaidi!

Walinzi wa rais Kabila wa Congo ni watz hii ilikuja baada ya serikali ya tz kushindwa jaribio lake la kumuua likiratibiwa na mkapa siku aliyouawa makamu wa rais watz
Baada ya kubumbuluka kabila alitaka kulifikisha suala hilo UN ndipo tz ikaomba radhi kwa kutembelea magoti kabisa, kabila akawaambia kuwa usama wa maisha yake anaukabidhi kwa tz!

Tangu hapo ulinzi wote wa ngazi ya juu pa Ikulu ya kinshasa ni wa kibongo!!
Mkuu ebu iweke vizuri hii ili tuelewe pointi yako.Especially hapo kwenye bold.

Yah ni jambo la kidipromasia zaidi!

Walinzi wa rais Kabila wa Congo ni watz hii ilikuja baada ya serikali ya tz kushindwa jaribio lake la kumuua likiratibiwa na mkapa siku aliyouawa makamu wa rais watz

Baada ya kubumbuluka kabila alitaka kulifikisha suala hilo UN ndipo tz ikaomba radhi kwa kutembelea magoti kabisa, kabila akawaambia kuwa usama wa maisha yake anaukabidhi kwa tz!

Tangu hapo ulinzi wote wa ngazi ya juu pa Ikulu ya kinshasa ni wa kibongo!!

Acha stori za kahawa. Kama una ushahidi weka kama thread watu wajadili

Yah ni jambo la kidipromasia zaidi!

Walinzi wa rais Kabila wa Congo ni watz hii ilikuja baada ya serikali ya tz kushindwa jaribio lake la kumuua likiratibiwa na mkapa siku aliyouawa makamu wa rais watz
Baada ya kubumbuluka kabila alitaka kulifikisha suala hilo UN ndipo tz ikaomba radhi kwa kutembelea magoti kabisa, kabila akawaambia kuwa usama wa maisha yake anaukabidhi kwa tz!

Tangu hapo ulinzi wote wa ngazi ya juu pa Ikulu ya kinshasa ni wa kibongo!!
Mkuu umetoa kitu kizito na kukipotezea. Hebu mwaga vitu tujue hasa kulikoni. Please!

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom