VIWANDA NA BIASHARA waziri aomba maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIWANDA NA BIASHARA waziri aomba maji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mosachaoghoko, Aug 9, 2011.

 1. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akitoa shukrani hadi kwa wanyama wake kakaukiwa na koo hadi kaomba maji ya kunywa
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  mkuu, hivi Tanzania tuna viwanda kweli? najua tulishawagawia wahindi vyote - sasa huyu waziri na wizara yake wanasimamia vipi?
   
 3. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa... we acha tu!!... Nchi hii ni shamba la bibi... tena bibi marehemu.
   
 4. K

  Kanda ya Ziwa Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nashauri tubadilishe jina la waizara iitwe wizara ya wahindi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. M

  Magarinza Senior Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Si tunavyo viwanda vidogo vidogo (SIDO) jamani?!! Nadhani ingeitwa vizara ya sido na cbe
   
Loading...