Ndani ya nchi ya vyama vingi, lakini bado kuna mfumo wa chama kimoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndani ya nchi ya vyama vingi, lakini bado kuna mfumo wa chama kimoja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by HITLER, Aug 9, 2011.

 1. HITLER

  HITLER JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Nilihudhuria kikao cha halimashauri(w) ya Geita (ful counc.) mwezi uliopita, meza kuu ilikuwa imekaliwa na viongozi wa serikali na viongozi wa CCM. Kwa kweli mfumo huu ulinikumbusha enzi za chama(kimoja) na serikali. Kwa mfumo huu CDM kuitoa CCM ipo kazi.
   
 2. T

  Testimony Senior Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm itatoka tu madarakani...lakini sio kwa kuutumia huo mfumo...manake hauwapi wananchi ukweli ktk kutoa mamuzi. mfumo utafumuliwa kwa mapinduzi ambayo yapo njiani kutokea saa na wakati wowote sasa
   
Loading...